Unafiki wa wabunge wetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafiki wa wabunge wetu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ochu, Jul 22, 2009.

 1. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nimekuwa nafuatilia kwa karibu vikao vya Bunge vinavyoendelea sasa huko Dodoma. wabunge wengi sana hasa wa CCM ni wanafiki wakubwa katika kuchangia bajeti.

  mbunge anasimama anaunga mkono hoja 100% kabla ya kuanza kuchangia....lakini ukiangalia kwa makini wakati anachangia hiyo 100% ya kuunga mkno hoja huioni...

  kuna tatizo gani?

  ni unafiki ulikidhiri na huu ni mchezo wa kuigiza maana kila kinacholetwa mbele ya wabunge kinapita bila kupingwa mbali na mapungufu yote yanayojitokeza katika michango.

  I am pissed off siangalii tena
   
Loading...