Unafiki wa TBC kwa jitihada za CHADEMA katika ujenzi wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unafiki wa TBC kwa jitihada za CHADEMA katika ujenzi wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by matongo manawa, May 10, 2011.

 1. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanajamvi kwa mara nyingine naleta maoni yangu hapa jamvini kuhusu shirika letu la
  utangazaji TBC.

  Mengi yamezungumzwa na tutaendelea kuyakemea mpaka kieleweke.
  Baada ya kuzungumza sana na kuonesha kukerwa sana,leo tbc wamejitutumua
  kuonesha mkutano wa CHADEMA ikiwa imechakachuliwa sana,na kilichonishangaza
  mimi ni kuchagua na kurusha sehemu ambazo hazikuwa na mguso kwa jamii

  Na chakushangaza zaidi hotuba ya Dr Slaa kuhusu upotevu wa bil 200 ilikatwa na hauoneshwa kabisa.
  Wakati huo huo katika muhtasari wa habari,uchaguzi wa mwenyekiti wa uvccm uliwekwa katika habari zilizopewa uzito.

  Wadau nauliza tena ninini kilicho nyuma ya tbc?
   
 2. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  safari ya mapinduzi ni ndefu ndugu!!
   
 3. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Wataficha ukweli hadi lini?
   
 4. m

  matongo manawa JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lakini hatuna watu wenye weledi wa kupima mambo?
  je nikweli walioko tbc ni wachumia tumbo kama tunavyoambiwa?
  Wao hawaoni aibu,dhamira zao haziwashitaki?
   
 5. Mbaneingoma Zom

  Mbaneingoma Zom JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mpaka leo hujajua kilicho nyuma ya tbc? Nafikiri unipashwa kujua kuwa tbc ni sasa iko kulinda mafisadi sasa sisi tunachokifanya ni kumobulaizi the majority ili siku tukiwatokea watuachie chombo chetu waanzishe chombo cha magamba!!! Kwa hiyo wapenda maendeleo wote tushirikiane kuhamasisha umma ili tukianza kufanya maamuzi magumu tusiwe na wakutuzuia.
   
 6. Du Bois ideas

  Du Bois ideas JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 428
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata wakiacha, tutasoma magezeti. CDM wawe wanatembea na watu wa Channel 10, ITV na Star TV. Hiyo waachane nayo. Wengine watasikiliza kipindi cha magazeti RFA na watapata ujumbe tu.
   
 7. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ipo siku huko kuchakachuwa kutawatokea puwani dawa ya watumishi wetu nikuandamana bira maandamano hakieleweki
   
 8. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa Mungu kila goti litapigwa.MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CHADEMA
   
 9. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ccm wanafiki ukiwa mchapa kazi mzuli hawakutaki wanataka mafisadi tido kaibolesha tbc ametimuliwa wamewapachika watoto wa shangazi zawo
   
 10. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,061
  Trophy Points: 280
  Tbc inakufa baada ya kuondoka tido mhando, et kuibania chadema ndiyo kulinda usalama wa nchi! Pole Mkude..ooops Mshana majina yanafanana!
   
 11. n

  n.ngereja Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tbc ni vibaraka wa chama cha magamba.

  wasaliti wa wanyonge, ipo siku kitaeleweka. CHADEMA TV Muhimu wakati ndio huu
   
 12. magessa78

  magessa78 JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Sep 28, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tbc1 wasikupe tumbo kuuma.tunapanga kuvamia pale makao yao makuu na kuiteka na kuchukua chombo chetu cha umma
   
 13. w

  warea JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 244
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama TV ya Misri
   
 14. Xuma

  Xuma JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 631
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Hivi hakuna wa kujilipua TZ???
   
 15. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #15
  May 10, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mkurugenz wao anaogopa na yeye wasije wakam-tido muhando.
   
 16. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Mbona tulishaacha kuhangaika na tv za bongo mkuu? Mtu mwenyewe Mshana unategemea afanye nini badala ya kuendeleza ile kazi ya sisiemu na zidumu fikra ya mwenyekiti wa ccm? usiwe na shaka iko siku tutakuwa na tv zenye kuwa na usawa!
   
 17. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,798
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Blaza! Mzuri sio Mzuli; Kaiboresha sio Kaibolesha; Zao sio Zawo.
   
 18. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,995
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Tunatafuta mwalimu wa kufundisha kiswahili,bila shaka utafaa.
   
 19. z

  zamlock JF-Expert Member

  #19
  May 11, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  hata mimi nimejionea walivyokuwa wannachakachua mpk unajua kuwa wanafanya makusudi na aiwasaidi bali ndiyo wanazidi kujijengea uwadui na wananchi
   
 20. k

  kabombe JF-Expert Member

  #20
  May 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 15,580
  Likes Received: 8,520
  Trophy Points: 280
  Anza wewe kwanza badala ya kuulizia wenzako
   
Loading...