Unafiki wa rose asha migiro wa kutetea jinsia.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Wito huo aliutoa jana Wilaya ya Momba wakati akihutubia mkutano wa hadhara, kwenye ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Abdurahman Kinana, inayoendelea mkoani Mbeya.

Dk. Migiro alisema, jamii inatakiwa kuachana na vitendo hivyo ambavyo vinadhalilisha na kudhoofisha maendeleo hasa kwa wanawake na watoto.

SOURCE NIPASHE.

Alikuwa wapi wakati mashitaka ya kubakwa mwanamke mwenzie yalipokuja ofisini mwake ??

Bosi huyu wa zamani wa U.N Kiungo muhimu cha kusimamia haki za binadamu duniani alikuwa wapi wakati familia ya marehemu mwangosi inachakuliwa kipenzi chao kikatili na jeshi la polisi. kama tume ya haki za binadamu yetu local iliweza kutoa tamko bosi wa UN yuko kimya ni aibu na unafiki wa hali ya juu

Heshimu mama zako wewe migiro ni mama yako hunaadabu kazinumbea tu kwa nini unamkosea adabu migiro kwani yeye polisi au mahakama basi mwambie slaa alitolee tamko kabisa hilo jambo.
 
Back
Top Bottom