Unafiki wa Nape na CCM

Dec 11, 2010
3,321
6,328
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.

kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.

huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.

Huu kama sio unafiki ni nini?
 
Sometimes hekimana busara za viongozi wetu bwana .Unapo amua kusema uongo wa aina hii ni hatari sana tena bila ya sababu .
 
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu. kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa. huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara. Huu kama sio unafiki ni nini?
Wandugu,tusihangaike na hawa misukule ya wasaliti,sio kwamba hawajui wanachokifanya bali kupotosha ukweli,hebu tuchape mwendo tuwa ignore kama shibuda na pia kwani haiwezekani kuwawekea pingamizi wasigombee nafasi yoyote ndani ya chama kwa miaka mia moja? 100? ( Rejea adhabu za TFF) naomba muongozo.
 
Kama kweli Nape aliiwakilisha CCM kwenye uchaguzi wa Chadema 2009 kwa uongo na unafiki anaoufanya hata sala zake anazosali huwa zinaenda kwa Mungu wake wa uongo ambaye ni shetani.
 
NAPE, wanaomjua sana humuita NEPI-nguo inayokusanya kila uchafu wa mtoto!
Ni imani yangu kwamba, kule kooote alikopita akitoa uharo, M4C itapita kufukia mashimo
Viva CHADEMA
 
Nilishasema na narudia tena kusema (Mods mkipenda nipigeni BAN ingawa sidhani kama nimevunja kanuni za hapa). Ni hivi "huwezi kuwa mwanathithimwewe kama upstairs kuko sawa" kwanza unapaswa kuwa msahaulifu ili uwe mwanaCCM!!!!!!
 
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.

kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.
huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.

Huu kama sio unafiki ni nini?
Ana matatizo ya kutunza kumbukumbu, kwani wewe hujamfuatilia kwenye mambo mengi ayafanyayo!? Ningelimshauri kula samaki au zile juice za Aloe Vera lakini katika umri ule nasikia akili inakuwa haiwezi kubadilishwa kirahisi maana imeshavuka stage ya kuwa creative na sasa kiumri yuko kwenye defensive age.

Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.

kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.

huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.

Huu kama sio unafiki ni nini?

NUNDU unayolishwa na DISKO JOKER MBOWE imekulevya kabisa
 
Kwa taarifa tu ndugu Mtoi huyu Nape alipata F ya Mathematics, F ya Civics na F ya English kwenye mtihani wa kidato cha nne. Kwa hiyo hapo unatakiwa kuelewa kuwa unadeal na mtu mwenye ubongo kama wa kuku, anachokumbuka kuku ni kudonoa na kuvuka barabara kwenda nyumbani tu. Sasa huyu Nape hana uwezo wa kutunza kumbukumbu, unategemea atakumbuka mambo ya 2009 kweli?? Yeye alikuwa anatimiza lengo la CCM kuwa washinikize CHADEMA wafanye uchaguzi mapema ili waweke mtu wao (MUUA PANYA). Sasa CHADEMA inataka kumfutilia mbali mtu wao, wameishasahau kabisa habari ya uchaguzi wa CHADEMA. CCM haikubaliki, tushirikiane kuitokomeza
 
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.

kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.

huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.

Huu kama sio unafiki ni nini?

Aliombaje kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA wakati chama hakifanyi chaguzi za ndani.Huyu opportunist anadhalilisha sana vijana

Usikute alipokuja kwenye uchaguzi huo wa Chadema 2009 alikua katika harakati za kutafuta alliance na chama chake cha CCJ
 
Kuishabikia chadema inabidi uwe na akili ya msukule. Kwanini Chadema ikifikia suala la uchaguzi linaongelewa mnakuwa wakali hivi?
 
Mkuu Mtoi wakati ule Nape alikuwa na Wenge na kutoswa kugombea Ubungo :A S 39:
 
Wewe unaona Unafiki wa nape, mimi nauona wa Zitto na Kitila, sababu na wao walishiriki uchaguzi huo? ni kitu gani kinawafanya wasambaze propadanga kwamba Mbowe kakaa madarakani muda mrefu wakati wanajua anatumia kipindi chake cha pili kikatiba.
 
Aliombaje kugombea ubunge jimbo la Ubungo kupitia CHADEMA wakati chama hakifanyi chaguzi za ndani.Huyu opportunist anadhalilisha sana vijana

Usikute alipokuja kwenye uchaguzi huo wa Chadema 2009 alikua katika harakati za kutafuta alliance na chama chake cha CCJ

Mkuu

CCM wanatakiwa kuyajibu haya kwa akili iliyotulia, tatizo ni kwamba wakishika vitufe vya simu au kompyuta huwa wanafikiria kwa kutumia rangi za majani ya miti, au ule unga ambao Kapuya kasema "Sisi ndio wenye nchi mbona watoto wetu wana uza unga hawakatwi".
 
Septemba 2009 CHADEMA ilifanya uchaguzi mkuu wake kwa mujibu wa katiba, na kwa mujibu wa katiba CHADEMA kilipaswa kufanya uchaguzi wake Sept 2014 kwa maana ya kutimiza miaka mitano. kwa busara za viongozi wa CHADEMA waliomba uchaguzi ufanyike mapema ili chama kijipange sawasawa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa 2015 hilo liliridhiwa na baraza kuu.

kwenye uchaguzi wa CHADEMA wa Sept 2009 muwakilishi aliye wakilisha CCM alikuwa Nape Nnauye. huyu alikuwepo kama mgeni mualikwa.

huyu huyu akasikika majuzi akisema CHADEMA hakija wahi kufanya uchaguzi kwa miaka 15, akamuomba msajjli akifute. Mateka wa Lumumba wakaungana na Nape kama kawaida wakajivua ufahamu. wakapiga miluzi kutoka ufukweni mpaka bara.

Huu kama sio unafiki ni nini?

Kamanda umesahau ule ugonjwa wa Nape. Siku akimjua baba yake naamini atakua na akili.
 
Wewe unaona Unafiki wa nape, mimi nauona wa Zitto na Kitila, sababu na wao walishiriki uchaguzi huo? ni kitu gani kinawafanya wasambaze propadanga kwamba Mbowe kakaa madarakani muda mrefu wakati wanajua anatumia kipindi chake cha pili kikatiba.

Mkuu.

Huu nao ni msumali, nakubaliana na wewe! umepigilia nyundo huku umeng'ata meno Mkuu. Nadhani picha halisi nyuma ya vurugu za CCM na uchaguzi wa ndani iko clear sasa!
 
Back
Top Bottom