Unafiki wa CUF kuhusu muungano

Waambi

JF-Expert Member
Dec 4, 2012
737
81
Serikali 3 ni kuvunja muungano. CUF waseme moja ama wavumilie mfumo uliopo wa muungano au watamke wazi kwamba muungano uvunjike. Zingine zote ni porojo na kuuma maneno! Wanafiki Wakubwa!
 
Serikali 3 ni kuvunja muungano. CUF waseme moja ama wavumilie mfumo uliopo wa muungano au watamke wazi kwamba muungano uvunjike. Zingine zote ni porojo na kuuma maneno! Wanafiki Wakubwa!
Bora tukose lakini mkataba lazima sio huu wa katiba.
 
Mtoa mada huu muungano ulivunjwa kitambo,jiulize mambo yasiyo ya muungano ya tanganyika yalikuwa yanashughulikiwa na serekali gani.
 
Nadhani serikali tatu pia ni sera ya CHADEMA. mbona hujumishi na wao kuja kutoa maelezo na sera yetu ya majimbo?
 
CHADEMA wansema hivi! "TANGANYIKA KWANZA MUUNGANO BAADAE" hizo ni sera za chadema.
 
Zanzibar wana haki ya kudai mamlaka/uhuru wao. Waeleze wazi sio kufichaficha. Heri muungano uvunjike ili Watanganyika tupumzike kubeba 'wenzetu' wasiobebeka!
 
Serikali 3 ni kuvunja muungano. CUF waseme moja ama wavumilie mfumo uliopo wa muungano au watamke wazi kwamba muungano uvunjike. Zingine zote ni porojo na kuuma maneno! Wanafiki Wakubwa!

Wacha kuleta -----! Kizuri huendelea na kama huu mfumo uliopo sasa ni mzuri basi ungeendelea. Kwani hii Sera ya serikali tatu ni ya CUF? Wao wanataka serikali ya mkataba. Sera ya Serikali 3 ni ya CHADEMA

Mkataba- CUF
Mbili - CCM
Tatu -CHADEMA

Sasa hapo sijui nani anataka kuvunja muungano kwa mujibu wa fikira zako!
 
Kama ulimsikiliza Maalim Seif Hamad juzi katika mkutano wa hadhara kule Zenji utafahamu kuwa msimamo wa CUF ni kuvunja kabisa Muungano. Hawataki serikali moja wala muungano wa serikali mbili wala wa tatu bali ni kutokuwepo muungano wowote.
 
Zanzibar kwanza ni sera ya waz'br,watanganyika sera yao unyonyaji,dhulma,ufisadi,kuchuna ngozi,ndio mambo yanayopewa kipaumbele.
 
Zanzibar kwanza ni sera ya waz'br,watanganyika sera yao unyonyaji,dhulma,ufisadi,kuchuna ngozi,ndio mambo yanayopewa kipaumbele.
Una ithibati katika haya!!!au ndio ule Umbea wa mitaani na majungu ya kwenu?????
 
Kidogo naengeza mkataba
Mkataba wazanzibari
Ccm Tzbara serekali 2
Chadema serikali 3
Cuf ni serekali ya mkataba

Namaanisha ccm tzbara ni srkli 2 na cuf tzbara mkataba.

Ila wazanzibari kama wazanzibari
Ni serikali ya mkataba hata kama ccm au cuf haipo
hiyo ndio sera ya waznzbari...naomba nieleweke vizuri
Ingawa wapo wache cuf na ccm walioko ktk makundi mengine
Huo mkataba kama umewasikia cuf basi ujue ni wao hata kama wakiukana kwa badae wazanzibari wasihusishwe na sera za cuf bali ni nchi yao tu
 
Serikali 3 ni kuvunja muungano. CUF waseme moja ama wavumilie mfumo uliopo wa muungano au watamke wazi kwamba muungano uvunjike. Zingine zote ni porojo na kuuma maneno! Wanafiki Wakubwa!

Hawa jamaa ni wa ajabu sana, wabunge wa cuf sikuzote kudai serikali kamili ZNZ kumbe walikuwa wanabeep wakidhani tutakuwa tutaendelea kuwaramba miguu? Hongera Mh Warioba, let them go.
 
Hakuna haja ya kujisumbua kipengele cha muungano kifutwe kwenye katiba tuwaache Wazanzibari waende zao tubaki na Tanganyika yetu. U-swahili na uyaheyahe wao unatuchelewesha maendeleo. Tuachane kistaarabu. Wabara wanaoishi Zbz wawe huru kurudi kwao au kujiandikisha u-Zbz na wapemba waliojazana Tanganyika wafanye vivyo hivyo. Inaelekea wenzetu wamechagua kuishi 'kiswahili' kama Commoro. Waacheni waende ni haki yao! .. Masikini Wazanzibari fukara watapata usumbufu mkubwa kutokana na ulevi/ujinga wa viongozi wao. Hakuna Zbz bila muungano. Uhuru wa Pemba na hatimaye Unguja utafuata ukifuatiwa na madai ya kujitenga kutoka Tumbatu na visiwa vingine. Let's wait and C. CCM wakizidi kung'aa macho bila kuchukua hatua, ujinga wa CUF, Jussa na Maalim Seif, unaweza kuwapumbaza Wazanzibari.
 
Hili ni Tamko la CUF Bara ama CUF unguja.
Hatutaki Muungano...ila tunataka kuuvunja ki ustaarabu...tukieni wa Zanibar.
Mshaanza kujiona wapweke tayar Kwa kutalikiwa na Tanganyika
 
Zanzibar kwanza ni sera ya waz'br,watanganyika sera yao unyonyaji,dhulma,ufisadi,kuchuna ngozi,ndio mambo yanayopewa kipaumbele.

Zanzibar ni Kolon letu Tanganyika.
Tutawafanya tunavyotaka.
Hamtaki jiueni...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom