GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,073
- 107,570
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametaka gereji nchini kurasimishwa na kuwa sekta rasmi huku akihimiza mafundi waliokaa muda mrefu gereji kupatiwa vyeti kutokana na kuwa na ujuzi wa kutosha.
Chanzo Habari: Azam Tv
Endeleeni tu kuwafanya Watanzania wote (hasa wale wa Dar es Salaam ni Mapopoma / Wapumbavu) na kwamba hawajui mwakani kikatiba nini kitatokea nchini Tanzania na hawa wenye gereji wakiwa ni wapiga kura pia.
Na GENTAMYCINE hadi leo nina kumbukumbu nzuri tu ya kwamba ama ni miaka miwili imepita/mmoja umepita ni serikali hii hii ya mkoa wa Dar es Salaam ilikuja na tamko zito dhidi ya hawa hawa wamiliki wa hizi gereji bubu na leo nashangaa tena kauli imebadilika.
Hata hivyo nimeshapata sasa sababu ya kuanzisha uchunguzi ni kwanini zile ngome zote za ' wapinzani ' Mkoani Dar es Salaam ambazo zipo maeneo yasiyotakiwa kisheria/kikanuni sasa ukienda unakuta kumewekwa bendera nyingi za Chama Dola lakini ukikutana na wahusika baadhi yao (japo bado sijawaamini kwa 100%) wanakuambia hiyo ni ' Strategy' yao tu ya kuzuiwa kuhamishwa na hata kufukuzwa lakini wao bado ni 'wapinzani' na kwamba mwakani 2020 lazima 'wamlize' mtu katika sanduku la posta japo kwa sasa huyo mtu anadhani anakubalika nao wakati kumbe wameshamchoka kitambo.