Riwa
Platinum Member
- Oct 11, 2007
- 2,607
- 3,065
[h=3]flirtingpresent participle of flirt (Verb)[/h]Behave as though attracted to or trying to attract someone, but without serious intentions. Flirting usually involves speaking and behaving in a way that suggests a mildly greater intimacy than the actual relationship between the parties would justify
............................................................................................................
Flirting imekuwa tatizo kubwa sana kwenye mahusiano siku hizi, wanawake kwa wanaume...wanapenda kuflirt, especially kwenye ndoa ambazo mvuto kati wa mume na mke umepotea (japo si lazima wacheat 'kingono'). Kubali kataa...mpenzio kama yuko kwenye mitandao ya kijamii (hasa baada ya hili kurahisishwa na simu) basi kuna uwezekano mkubwa anaflirt.
Ugumu unakuja unapomconfront mpenzio pindi ukim'bamba'...atasema 'am just flirting tu, mean no harm, hata mtu mwenyewe sijawahi kutana naye'! Unafanya nini katika situation kama hiyo? Unamuacha?...this has never work, sababu wengi sana wanaflirt, utakayekutana naye baadae naye ni flirter. Unamuonya?...it has never work either, hata akikubali basi sirudii, for sure ataendelea kuflirt, ina some sort of addiction! Unamchimbia mkwara anayecheat na mpenzio?....unajiaibisha, am sure watakapoflirt tena atamuambia 'achana na yule ****'!
So 'unatakiwa ufanye nini kwa kweli'? Ignore it like it has never happen?!