Unafahamu jinsi ya kujipatia kipato kupitia mtandao (online)?

rbsharia

Member
Sep 14, 2011
41
6
Tuondoe dhana ya kusema ajira hakuna.

"MAKE MONEY ONLINE"
Ni msemo wenye maandishi ya kizungu unaotumika sana katika maeneo mengi ya dunia na hata katika ardhi yetu ya Bongo (Bongo land).
Watu wengi sana wanadhani msemo huu ni masihara, lakini nawapa angalizo kuwa msemo huu ni sahihi sio tu kwa nchi za wenzetu bali hata hapa Tanzania tena ukizingatia tunajivunia kujipatia kipato kwa kutumia mtandao wa Kitanzania unaomilikiwa na watanzania.
Kwa ufafanuzi, tembelea na ufuatilie www.jigambe.com au www.jigambeads.com
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom