Mbao Tanzania
Senior Member
- May 31, 2021
- 170
- 215
- Thread starter
- #21
Mdogo mdogo ndio mwendoMm bado nimeweka mawe site... Yan huwaa naenda kila wikend utadhani naenda kuangalia mgonjwa afu nasepaa
Mdogo mdogo ndio mwendoMm bado nimeweka mawe site... Yan huwaa naenda kila wikend utadhani naenda kuangalia mgonjwa afu nasepaa
Hongera sana mkuu. Vijana waongeze bidii nao wapata hii satisfaction.Ni very satisfying unapomaliza nyumba alafu unaangalia picha za huko ulikoanzia, yaani site tupu, msingi hadi mwisho wa finishing. Asante Mungu
Huwa naenda site kila ninapoishiwa na pesa mfukoni. Nikiyaangalia yale matofali, nafarijika, kisha narudi home
Zamani kulikuwa na msemo kuwa ukienda site kuangalia matofali bila kufanya chochote yananyauka na kupukutikaHa ha ha Kama Mimi kiongozi
Safi sana mkuu!Raha ni kuwa benet benet na mafundi, hii inasaidia mnoo, kuna gharama nyingi saana unaweza punguza, nilikuwa site mwenyewe, nilipata baadhi ya vitu kwa bei rahisi zaidi, mfano alikuja mtu ana shida akaniuzia matofali kwa 600, idadi ya yalikuwa matofali zaidi ya 1000.. Halafu yalikuwa pua na mdomo.
Hapo ndipo changamoto ilipo, kama una mtu una muamini saana unaweza ukamuweka, ikishindikana, muache fundi afanye yake, kwani kila mtu hula kazini kwake.Safi sana mkuu!
Huu ushauri wa kuwa benet na mafundi ni mzuri, lakini vipi kwa ambao mishe zinawabana hadi wanakosa muda?
Buguruni mnasifika kwa wizi. Unalizungumziaje hili?Tupo Ilala Dar es Salaam. Mzigo wa mbao upo kwenye eneo letu la kupaki Buguruni-Chama..
Inakuwa hakuna namna. Lakini kuna mafundi wazuri na wachamungu pia.Hapo ndipo changamoto ilipo, kama una mtu una muamini saana unaweza ukamuweka, ikishindikana, muache fundi afanye yake, kwani kila mtu hula kazini kwake.
Wapo japo wachache, ila unaookuwa site mwenyewe lazima kuna vitu utasave tu..Inakuwa hakuna namna. Lakini kuna mafundi wazuri na wachamungu pia.
Ni kweli mkuu. Si unajua tena penye riziki kuna mambo mengi sana. Msafara wa mamba kenge hawakosekani.Buguruni mnasifika kwa wizi. Unalizungumziaje hili?
Upo sahihi mkuuWapo japo wachache, ila unaookuwa site mwenyewe lazima kuna vitu utasave tu..
safi sana..me naendaga kuangalia kiwanja kitupu kama kinaumwa. 😂Huwa naenda site kila ninapoishiwa na pesa mfukoni. Nikiyaangalia yale matofali, nafarijika, kisha narudi home 😆😀
kosa linhgine ambalo huwa hushtuk mpaka inakuwa too rate,ni kile kishimo cha trap wakat wa kuset bonba za kutoa maji bafu kuwa makin kasikae katikat kanatakiwa kagongewe pemben ili maji fund akipiga tiles slope yote inaend sehem moja hii inafanya bafu au choo +baf kisituame majiMimi nilishakuwa nimeandaa madirisha yangu na milango ya nyumba nzima kabla sijaanza ujenzi, na kumpa fundi vipimo vyake, walipoanza walikosea ukubw akidogo ila sababu kila jioni ninaenda nikawa ninajua mapema tukairekebisha kabla ya kuta kuanza kupanda, hilo moja ninalokumbuka kwa haraka.
nikija na futi kamba yang au ile steel ipi itafaa?Ni kweli mkuu. Si unajua tena penye riziki kuna mambo mengi sana. Msafara wa mamba kenge hawakosekani.
Wizi upo usipokuwa makini hasa wizi wa vipimo. Hivyo tunashauri mteja aje na tape measure yake kabisa hata asiponunua kwetu, huko pengine ajiridhishe pia.
Buguruni!Tupo Ilala Dar es Salaam. Mzigo wa mbao upo kwenye eneo letu la kupaki Buguruni-Chama
Zote zinafaa. Karibu sana.nikija na futi kamba yang au ile steel ipi itafaa?
Tumeshauri huko juu. Ni vyema kuchukua tahadhari. Wauzaji janja janja bado wapo. Beba futi yako!Buguruni!
Nyie jamaa wa Buguruni huwa mna mchezo wa kupunguza futi, mmeacha huo mtindo?