Unaenda lini 'site' kuendelea na ujenzi?

makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
16,545
2,000
Raha ni kuwa benet benet na mafundi, hii inasaidia mnoo, kuna gharama nyingi saana unaweza punguza, nilikuwa site mwenyewe, nilipata baadhi ya vitu kwa bei rahisi zaidi, mfano alikuja mtu ana shida akaniuzia matofali kwa 600, idadi ya yalikuwa matofali zaidi ya 1000.. Halafu yalikuwa pua na mdomo.
 
Mbao Tanzania

Member
May 31, 2021
41
125

Safi sana mkuu!

Huu ushauri wa kuwa benet na mafundi ni mzuri, lakini vipi kwa ambao mishe zinawabana hadi wanakosa muda?
 
makaveli10

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
16,545
2,000
Safi sana mkuu!

Huu ushauri wa kuwa benet na mafundi ni mzuri, lakini vipi kwa ambao mishe zinawabana hadi wanakosa muda?
Hapo ndipo changamoto ilipo, kama una mtu una muamini saana unaweza ukamuweka, ikishindikana, muache fundi afanye yake, kwani kila mtu hula kazini kwake.
 
julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
1,014
2,000
Mimi nilishakuwa nimeandaa madirisha yangu na milango ya nyumba nzima kabla sijaanza ujenzi, na kumpa fundi vipimo vyake, walipoanza walikosea ukubw akidogo ila sababu kila jioni ninaenda nikawa ninajua mapema tukairekebisha kabla ya kuta kuanza kupanda, hilo moja ninalokumbuka kwa haraka.
kosa linhgine ambalo huwa hushtuk mpaka inakuwa too rate,ni kile kishimo cha trap wakat wa kuset bonba za kutoa maji bafu kuwa makin kasikae katikat kanatakiwa kagongewe pemben ili maji fund akipiga tiles slope yote inaend sehem moja hii inafanya bafu au choo +baf kisituame maji
 
julaibibi

JF-Expert Member
Jun 16, 2020
1,014
2,000
Ni kweli mkuu. Si unajua tena penye riziki kuna mambo mengi sana. Msafara wa mamba kenge hawakosekani.

Wizi upo usipokuwa makini hasa wizi wa vipimo. Hivyo tunashauri mteja aje na tape measure yake kabisa hata asiponunua kwetu, huko pengine ajiridhishe pia.
nikija na futi kamba yang au ile steel ipi itafaa?
 
Mbao Tanzania

Member
May 31, 2021
41
125
Wikiendi ndio hii inajongea wadau. Tusisahau kwenda site hata kuchungulia tu. Kama unahitaji tukuandalie mzigo tucheki tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom