Unaenda kwenye page ya messi kumsifia CR7 lazima uchezee block

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,582
Chezea watanzania yaani hata block za kimataifa wanazipata. Kisa cristian ronaldo kafunga magoli mubashara watu shangwe wanaenda kupigia vuvuzela page ya messi,block la chap chap linawahusu
17932326_1388108737918729_3202031194434699264_n.jpg
17882945_1500680353276045_7250215656790949888_n.jpg
 
Back
Top Bottom