gr8 masae
Member
- Nov 30, 2016
- 6
- 1
Mr. Truth!! Bei ya Mkaa itapanda maradufu, EWURA yaomba kupandisha bei ya umeme kwa asilimia 18, Wanafunzi 30,000 wakosa mikopo vyuo vikuu, Benki X yafilisika, Bunge halina fedha za kurushwa LIVE.
Nchi inabana matumizi, ziara ya Mkuu wa Mkoa "LIVE", Bombardier Zanunuliwa, Nchi ya Viwanda inakuja, Rais atangaza kuhamia Dodoma, Kiwanda cha Dangote hatarini kufungwa, Matamko ya Waziri wa Elimu yaendelea, Serikali yaendelea na mchakato wa kuleta ajira, Wafanyakazi wa kampuni Y wapunguzwa, Uchumi wa nchi unakua kwa kasi, Hoteli zageuzwa kuwa hostel.
Unaelewa nini?