Unadumisha vipi mazungumzo na mpenzi aliye mbali hasa pale mnapokosa cha kuongea?

otsward

otsward

Senior Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
178
Points
225
otsward

otsward

Senior Member
Joined Jan 14, 2018
178 225
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa
Nataman hio 69na ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
T 1990 ELY

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2014
Messages
5,229
Points
2,000
Age
29
T 1990 ELY

T 1990 ELY

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2014
5,229 2,000
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa
Hahaha...Nimekupe Bure Kwa kweli Mother Confessor.

Una laini/namba yoyote uliyoisajiri katika ufumo wa kupokea na kutoa pesa pindi unapotumiwa?

"Enough of No Love"
 
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
27,897
Points
2,000
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
27,897 2,000
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa
Mungu wangu
 
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
7,063
Points
2,000
Don Clericuzio

Don Clericuzio

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2017
7,063 2,000
Mnakosaje sasa?
Unashindwa hata kumuhadithia yule aunt yako wa Kantalamba aliekua anaumwa kapona? Au yule mfanyakazi mwenzio mlieenda nae dinner kahama office?
Mkiona hamna story ujue hamna chemistry mna history

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukosa cha kuongea ni pale mapenzi yanakuwa yanaanza kuisha au kuna dalili za kuchokana.
 
Forum statistics

Threads 1,283,430
Members 493,679
Posts 30,789,110
Top