Unadumisha vipi mazungumzo na mpenzi aliye mbali hasa pale mnapokosa cha kuongea?

Ford Range

Ford Range

Senior Member
Joined
Oct 13, 2016
Messages
171
Points
250
Age
27
Ford Range

Ford Range

Senior Member
Joined Oct 13, 2016
171 250
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa
Nimecheka sana eti " kama mnalima tikiti maji" tuliolima ndo tunajua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Messages
784
Points
1,000
Kingsmann

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2018
784 1,000
Hii kitu inanitokea ktk mahusiano yangu ya sasa. Mwenzangu hana exposure ya mambo kadha wa kadha.

Hayupo kweny soka, siasa, udaku wala nyanja za kidunia. Alafu anafosigi tuwe in-touch always. Basi ananipa tabu sana sababu stori hazipandi kabisa.

Lkn kuna ambao naongea na kuchat nao wako very bonded na mm. Mpaka naona kabisa jahazi linaenda kuzama
 
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
14,084
Points
2,000
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
14,084 2,000
Hapa nimepata kitu aisee.

Wanawake wajue wanaume sio watu wa stori sana na kuchati.

Utakuta mtu umeitikia kitu kwa kumwabia haya sawa.anafosi NIAMBIE BAYBIY.NDO HUNA CHA KUNAMBIA. watu kama hawa unawajibu NDIO.
Mana inaboa mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
Haha ni sheeda asee
 
kaburungu

kaburungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2011
Messages
2,014
Points
2,000
kaburungu

kaburungu

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2011
2,014 2,000
Ha ha unafurahisha sana, hapo kwenye mpesa patamu ati.
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
espy

espy

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
54,631
Points
2,000
espy

espy

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
54,631 2,000
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa
Nimeuelewa huo mstari wa mwisho tu.
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,791
Points
2,000
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,791 2,000
Ukikosa kabisa neno , salimia hata mifugo yake , kuku,mbuzi, sungura wote hawajambo ?? Mvua zinanyesha huko ? Asubuhi ulikula nini ? nk. Utakosaje cha kusema ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gwankaja

gwankaja

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Messages
3,939
Points
2,000
gwankaja

gwankaja

JF-Expert Member
Joined May 16, 2011
3,939 2,000
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa
Ha ha eti tikiti maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,283,430
Members 493,679
Posts 30,789,110
Top