Unadumisha vipi mazungumzo na mpenzi aliye mbali hasa pale mnapokosa cha kuongea?

Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
14,084
Points
2,000
Mother Confessor

Mother Confessor

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
14,084 2,000
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa🤓
 
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,205
Points
2,000
safuher

safuher

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,205 2,000
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa
Hapa nimepata kitu aisee.

Wanawake wajue wanaume sio watu wa stori sana na kuchati.

Utakuta mtu umeitikia kitu kwa kumwabia haya sawa.anafosi NIAMBIE BAYBIY.NDO HUNA CHA KUNAMBIA. watu kama hawa unawajibu NDIO.
Mana inaboa mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Messages
7,034
Points
2,000
joanah

joanah

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2016
7,034 2,000
Kama wapenzi kuna muda mnatakiwa mpeane challenge muongee hata siasa kidogo,mpira,mieleka,muziki,biashara nk...sio kutwa babe umekula nini,umeamkaje,ile style 69 nimeimiss kwelii...ooohh mimi utanichosha siku 2 asee na nitazidi kuwa bored,.

Em badilisheni topic na muwe watani kidogo inaleta msisimko,.sio ukauzu kama mnalima tikiti maji,.story lazima ziyeyuke...

NB:ikishindikana hayo jaribu kutumia m-pesa🤓
Asipoelewa hapa haji kuelewa kitu maisha yake yote
 
October man

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Messages
1,408
Points
2,000
October man

October man

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2017
1,408 2,000
Utampigiaje simu wakati huna cha kuongea, hivi mmekuwaje nyie vijana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Bilashaka utakuwa mtoto wewe, kukosa cha kuongea nikawaida kwenye mapenzi unakuta unampia au unapigwa unasema nilikuwa nakisalimia tu, simuda wote kwenye mapenzi kunakuwa na topic ya kufanya muongee | wewe ni mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,283,439
Members 493,679
Posts 30,789,639
Top