Unadhani Ujumbe huu wa 'Twitter’ wa Rais Museveni atakuwa anamlenga nani au nchi gani hapa duniani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,400
111,153
" Uganda is stable. I have said before that those who try to destabilize our Country do not know our capacity. It is big. Once We mobilize you cannot survive if you are a trouble maker ".

Tafsiri:

" Uganda ni imara. Nilishasema wale ambao wanajaribu kutuyumbisha hawajui uwezo Wetu. Ni mkubwa. Tukijipanga huwezi kupona kama ni Mchokozi "

Nawasilisha.
 
Kagame anajiona geneous sana. Kiburi cha madaraka kitaligarimu taifa lake. Tunategemeana sana dunia hii.Hakuna mbadala wa jirani. Ajishushe na kuomba radhi kufunga mpaka.

Sent using Jamii Forums mobile app

' Geneous ' kama ulivyoandika hapo Mkuu ni Kiingereza cha nani hicho? Kwani huwa kuna ulazima wowote Kuandika kwa Kiingereza kama labda kinakupa Shida kama ambavyo kinanipa Shida na Mimi GENTAMYCINE ndiyo maana huwa napenda tu Kutiririka na Kuserereka zangu tu kwa hiki hiki Kiswahili changu?
 
Back
Top Bottom