Unadhani ni Afadhali Ukoloni Urudi Tena Afrika? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unadhani ni Afadhali Ukoloni Urudi Tena Afrika?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kichuguu, Mar 5, 2011.

 1. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #1
  Mar 5, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 864
  Trophy Points: 280
  Niko kama ninataka kukubaliana na dhana hiyo kwa sababu. Ukoloni huo utatuunganisha tena waafrika dhidi ya huyo mkoloni; udini na ukabila havitakuwa na nguvu tena. Zaidi ya hilo, kudhulumiana na kuoneana baina ya waafrika wenyewe kwa wenyewe kutapungua sana. Kwa mfano CCM haitajiona tena kama inawamiliki watanzania na kuwatumia inavyotaka.

  Ni vigumu sana kupigana na adui ambaye ni ndugu yako wa karibu kuliko kupigana na adui ambaye ni wa kutoka mbali.
   
 2. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Mzee wewe ni wa miaka ya 90 nini!inaonyesha historia imekupiga kando.Mkoloni ni pamoja na Mwarab aliyekuwa akituuza kama bidhaa sokoni.Acha kukufuru wewe huku unakula unashiba.Ila hata Waisrael walimsaliti Mussa kwa kutamani kurudi utumwani Misri kwa sababu za kimaisha-tumbo na kusahau adha waliyokuwa nayo utumwani.Usiwe mtoto na kutoa thread za kujifurahisha nafsi huku hapo ulipo una uhakika wa kula ama unalishwa.Ukoloni unaujua wewe?
   
 3. M

  MkamaP JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2011
  Joined: Jan 27, 2007
  Messages: 7,313
  Likes Received: 1,452
  Trophy Points: 280
  kumbe unaupenda ukoloni? saizi ni ukoloni wa mwuesi dhidi ya mweusi hizi ni zama zingine.
   
 4. bona

  bona JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2011
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  cjakuelewa labda uwe wazi zaidi ukoloni upi unaozungumzia kwani ukoloni in the sense ya kutawaliwa na kuibiwa resources zetu upo palepale isipokua ni viongozi ndio wamebandikwa wa africa wenzetu kwa niaba yao, i think kama ni kua na mtawala mzungu pia wont be so bad you know a little bit different for a change!
   
 5. R

  Retired JF-Expert Member

  #5
  Dec 8, 2017
  Joined: Jul 22, 2016
  Messages: 10,094
  Likes Received: 11,839
  Trophy Points: 280
  nORMALY TUNAPOONGELEA UKOLONI TUNAMAANISHA MJERUMANI NA MWINGEREZA
   
Loading...