Unadhani mahusiano kati ya Wanafunzi na Walimu yataimarika ikiwa Walimu watakuwa na ari kama Mwalimu Yusuph?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,001
9,867
Mmoja kati ya walimu wanaoonesha uwezo tofauti wa kucheza na watoto nchini ni mwalimu Yusuph Mohamed Yusuph ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Ikorongo Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara

Katika video nyingi ameonekana akiwa anacheza na watoto ambao ni wanafunzi wake na nyingine akionesha kujali hasa watoto wakiumia wanapokuwa wanacheza

Mwalimu Yusuph aliajiriwa mwaka 2018 na anafanyakazi katika mazingira ambayo hayana tofauti na mazingira ya shule nyingi nchini.

Tazama video uone kama kuna mwanafunzi anaweza kuwa mtoro
kama walimu watakuwa wengi wa aina hii
 
View attachment 1780427 View attachment 1780428

Ninachokutana nacho ni

1620722210670.png
 
Mmoja kati ya walimu wanaoonesha uwezo tofauti wa kucheza na watoto nchini ni mwalimu Yusuph Mohamed Yusuph ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Ikorongo Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara

Katika video nyingi ameonekana akiwa anacheza na watoto ambao ni wanafunzi wake na nyingine akionesha kujali hasa watoto wakiumia wanapokuwa wanacheza

Mwalimu Yusuph aliajiriwa mwaka 2018 na anafanyakazi katika mazingira ambayo hayana tofauti na mazingira ya shule nyingi nchini.

Tazama video uone kama kuna mwanafunzi anaweza kuwa mtoro
kama walimu watakuwa wengi wa aina hii
View attachment 1780612
Lakini utashangaa OPRAS imevaa miwani ya mbao haimwoni kabisaaa
 
Mmoja kati ya walimu wanaoonesha uwezo tofauti wa kucheza na watoto nchini ni mwalimu Yusuph Mohamed Yusuph ambaye ni mwalimu wa shule ya msingi Ikorongo Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara

Katika video nyingi ameonekana akiwa anacheza na watoto ambao ni wanafunzi wake na nyingine akionesha kujali hasa watoto wakiumia wanapokuwa wanacheza

Mwalimu Yusuph aliajiriwa mwaka 2018 na anafanyakazi katika mazingira ambayo hayana tofauti na mazingira ya shule nyingi nchini.

Tazama video uone kama kuna mwanafunzi anaweza kuwa mtoro
kama walimu watakuwa wengi wa aina hii
View attachment 1780612
sometime inabidi tu uendane na mazingira
 
Back
Top Bottom