Unadhani kwanini CCM wanataka mwenyekiti wa CHADEMA abadilike lakini si wa TLP au John cheyo?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Wanabodi, nimerudi.

Mbowe Ananivutia Na Vitu Vingi Kwa Uchache Ni Mvumilivu Mno, Pili Anajua Kupika Vijana Kisiasa mfano Zitto, kafulila, mnyika, mdee, nassari N.k ni Kazi Yake

Vijana Wengi Hawana Uelewa Wa Maswala Ya Kisiasa, Wengi Hudhani Siasa Haziwahusu Hili Ni Kosa Kubwa Sana Kwasababu Wako Hivyo Walivyo Leo Kwasababu Ya Siasa, Nini kifanyike? Tuboreshe Mfumo wetu wa ELIMU.

Kama Mkapa Angekuwa Mwenyekiti Wa CCM Mpaka Leo Hata Wanaccm Ungetaka Atoke ...Ndio Siasa Zilivyo BTW Kuendelea Kuamini Kwamba Wanachadema Hawataki Kuona Mabadiliko Ya Uongozi Wa Chama huko Ni Kugoma Kufikiri Sawasawa. Tunataka mabadiliko

Hakuna Kitu Kama Mwanaharakati Huru, Na Hakuna Mtanzania Asiye Na Chama, Kama Sio Mwanachama Kwa Kadi Bhasi Utakua Mwanachama Kiimani, Yaani Unauamini Upande Fulani Kuliko Upande mwingine, Mimi Ni Mwamachama Wa CHADEMA

CHADEMA Ya Sasa Imekua Ni CHADEMA Ya "Kulialia" Kwasababu Viongozi Wake Wengi Either Ni Waoga Au Wameishiwa Mbinu, Ushauri Wangu Kwa Mwenyekiti Asichukue Fomu Ya Kugombea Hiyo Nafasi Tena, Kwa Wanachama Tuchague Viongozi Wapya Kwenye Uchaguzi Ujao.

Ni Kweli Nampigia Chapuo Mh Lissu Kuwa Mwenyekiti Wa CHADEMA Kwasababu Naamini Katika Uwezo Wake, CHADEMA Ya Sasa Inamuhitaji Lissu Kuliko Lissu Anavyoihitaji CHADEMA Hii Sio Movement haya Ni Mahaba Yangu Binafsi

Mwaka 2018 Ni Mwaka Wa Uchaguzi Ndani Ya Chama Hivyo Tumejipanga Kupata Viongozi Wapya Pili CHADEMA Ilipofikia Haiwezi Kufa Kwasababu eti Mtu amekihama Kama Ni Mfwatiliaji Wa Siasa Utakubaliana Na Mimi, ACT, TLP N.k Ndo vinaweza Kufa Mtu Akihama Sio CHADEMA

Sitaki Kusema Nchi Hii Iko Stagnant Ni Kweli Kwamba Tunapiga Hatua Za Kimaendeleo Siku Baada Ya Siku Lakini Hatua Hizi Za Kimaendeleo Hazifanani Na Hekaya Zinazopigwa Na Serikali & CCM, Kwangu Mimi Naona Hekaya Zimezidi Uhalisia.

Mimi Ni Mchumi By Pro Hivyo Nina Mengi Ya Kumshauri (Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Alisema Hashauriki), Pili Sitaki Cheo Chochote Kwnye Serikali Ya JPM Kwasababu Siamini Katika "Vision" Aliyonayo

Huwezi kukutana Na Mwanamke Kanisani/msikitini Alafu Ukamnunua Ili Ulale Nae Wanaonunuliwa Ni Wale Waliojiegesha Sehemu Ya Mauzo...Same applies to Politics

"Wakijenga shule hawaingilii Wizara ya Elimu; wakijenga hospitali hawaingilii Wizara ya Afya; wakijenga kisima cha maji hawaingilii Wizara ya Maji; wanapongezwa. Wakihoji kwa nini hakuna dawa hospitali, wanaambiwa wanachanganya dini na siasa."- Askofu Dkt Bagonza, KKKT Karagwe

mr mkiki.
 
Kawaibia sana Chadema na kula ruzuku za serikali na sio mfano mzuri wa demokrasia Africa mtu kumiliki chama cha siasa kwa zaidi ya miaka 14 sasa na kukifanya. kuwa cha familia na kujifanya eti kinaongozwa kidemokrasia na kuwa wakosoaji wakubwa wa ccm. Hii haiko sawa kwa vipimo vyovyote vile.
 
"Hatuwezi kuachia utamaduni wa woga ukawa ni mbinu au sifa mpya ya uongozi. Na sasa lazima tukiri kwamba utamaduni huu wa woga unaanza kuwa ni sehemu ya tatizo letu la kitaifa." - Mwl JK Nyerere

Ahsante sana ndugu mr mkiki
 
Kawaibia sana Chadema na kula ruzuku za serikali na sio mfano mzuri wa demokrasia Africa mtu kumiliki chama cha siasa kwa zaidi ya miaka 14 sasa na kukifanya. kuwa cha familia na kujifanya eti kinaongozwa kidemokrasia na kuwa wakosoaji wakubwa wa ccm. Hii haiko sawa kwa vipimo vyovyote vile.
Siasa Za Tanzania Zimekuwa Dominated Na Watu Wenye Akili Ndogo SANA, Kinachonisikitisha Hata Wenye Akili Kubwa Wakiingia Kwenye Siasa Nao wanakuwa Wajinga

bado ujaelewa post ya mr mkiki soma tena
 
Wanabodi, nimerudi.

Mbowe Ananivutia Na Vitu Vingi Kwa Uchache Ni Mvumilivu Mno, Pili Anajua Kupika Vijana Kisiasa mfano Zitto, kafulila, mnyika, mdee, nassari N.k ni Kazi Yake

Vijana Wengi Hawana Uelewa Wa Maswala Ya Kisiasa, Wengi Hudhani Siasa Haziwahusu Hili Ni Kosa Kubwa Sana Kwasababu Wako Hivyo Walivyo Leo Kwasababu Ya Siasa, Nini kifanyike? Tuboreshe Mfumo wetu wa ELIMU.

Kama Mkapa Angekuwa Mwenyekiti Wa CCM Mpaka Leo Hata Wanaccm Ungetaka Atoke ...Ndio Siasa Zilivyo BTW Kuendelea Kuamini Kwamba Wanachadema Hawataki Kuona Mabadiliko Ya Uongozi Wa Chama huko Ni Kugoma Kufikiri Sawasawa. Tunataka mabadiliko

Hakuna Kitu Kama Mwanaharakati Huru, Na Hakuna Mtanzania Asiye Na Chama, Kama Sio Mwanachama Kwa Kadi Bhasi Utakua Mwanachama Kiimani, Yaani Unauamini Upande Fulani Kuliko Upande mwingine, Mimi Ni Mwamachama Wa CHADEMA

CHADEMA Ya Sasa Imekua Ni CHADEMA Ya "Kulialia" Kwasababu Viongozi Wake Wengi Either Ni Waoga Au Wameishiwa Mbinu, Ushauri Wangu Kwa Mwenyekiti Asichukue Fomu Ya Kugombea Hiyo Nafasi Tena, Kwa Wanachama Tuchague Viongozi Wapya Kwenye Uchaguzi Ujao.

Ni Kweli Nampigia Chapuo Mh Lissu Kuwa Mwenyekiti Wa CHADEMA Kwasababu Naamini Katika Uwezo Wake, CHADEMA Ya Sasa Inamuhitaji Lissu Kuliko Lissu Anavyoihitaji CHADEMA Hii Sio Movement haya Ni Mahaba Yangu Binafsi

Mwaka 2018 Ni Mwaka Wa Uchaguzi Ndani Ya Chama Hivyo Tumejipanga Kupata Viongozi Wapya Pili CHADEMA Ilipofikia Haiwezi Kufa Kwasababu eti Mtu amekihama Kama Ni Mfwatiliaji Wa Siasa Utakubaliana Na Mimi, ACT, TLP N.k Ndo vinaweza Kufa Mtu Akihama Sio CHADEMA

Sitaki Kusema Nchi Hii Iko Stagnant Ni Kweli Kwamba Tunapiga Hatua Za Kimaendeleo Siku Baada Ya Siku Lakini Hatua Hizi Za Kimaendeleo Hazifanani Na Hekaya Zinazopigwa Na Serikali & CCM, Kwangu Mimi Naona Hekaya Zimezidi Uhalisia.

Mimi Ni Mchumi By Pro Hivyo Nina Mengi Ya Kumshauri (Wasiwasi Wangu Ni Kwamba Alisema Hashauriki), Pili Sitaki Cheo Chochote Kwnye Serikali Ya JPM Kwasababu Siamini Katika "Vision" Aliyonayo

Huwezi kukutana Na Mwanamke Kanisani/msikitini Alafu Ukamnunua Ili Ulale Nae Wanaonunuliwa Ni Wale Waliojiegesha Sehemu Ya Mauzo...Same applies to Politics

"Wakijenga shule hawaingilii Wizara ya Elimu; wakijenga hospitali hawaingilii Wizara ya Afya; wakijenga kisima cha maji hawaingilii Wizara ya Maji; wanapongezwa. Wakihoji kwa nini hakuna dawa hospitali, wanaambiwa wanachanganya dini na siasa."- Askofu Dkt Bagonza, KKKT Karagwe

mr mkiki.
Tukutana central leo mchana,njoo na mkojo.Mchochezi mkubwa we!
 
Kawaibia sana Chadema na kula ruzuku za serikali na sio mfano mzuri wa demokrasia Africa mtu kumiliki chama cha siasa kwa zaidi ya miaka 14 sasa na kukifanya. kuwa cha familia na kujifanya eti kinaongozwa kidemokrasia na kuwa wakosoaji wakubwa wa ccm. Hii haiko sawa kwa vipimo vyovyote vile.
Unanikumbusha yule Prof wa kinyamwezi anayejiuzuru na kurejea alipoona lengo halijatimia.
 
awe pia baba wa familia yako mkuu!!

wanaolalamika wako humo humo chadema, hawawezi kusema
 
Kawaibia sana Chadema na kula ruzuku za serikali na sio mfano mzuri wa demokrasia Africa mtu kumiliki chama cha siasa kwa zaidi ya miaka 14 sasa na kukifanya. kuwa cha familia na kujifanya eti kinaongozwa kidemokrasia na kuwa wakosoaji wakubwa wa ccm. Hii haiko sawa kwa vipimo vyovyote vile.
Mkuu una umri gani? Elimu je? Nikikuuliza chadema na utajir wa familia ya mbowe ni kipi tajir utajibuje? Kama serikali kupitia ccm waliweza kumpeleka mahakaman dr slaa 2010 case ikiwa kuoa mke wa mtu. Just mke wanashindwa nini kumpeleka mbowe mahakamani kwa kuiba hizo pesa za ruzuku kama unavyodai wewe ukiwa huna ushahidi wowote.
Poor u mwenzio kakutajia vijana waliotoka mikononi mwa mbowe na kuwa tishio kwa hoja bungeni wewe unaleta vijimaneno vyako kama yule kijana shaka mwenyekit alopita wa UVCCM aliyeolewa huko Tanga na dume mwenziwe?
 
Back
Top Bottom