Ila jaman laana zingine watu hujitafutia...michango ilikua kwa ajil ya wanakagera na hata waliokua wanatoa walisisitiza hilo na walijua ni kwa ajili yao ...lakin guess what happened ...its shame na laana.sitachangia
Uzi una masaa 4, coments 5...Nimewaza kwa sauti tu
kabisa ni aibu kubwaIla jaman laana zingine watu hujitafutia...michango ilikua kwa ajil ya wanakagera na hata waliokua wanatoa walisisitiza hilo na walijua ni kwa ajili yao ...lakin guess what happened ...its shame na laana.
Kwanza hukafafanua unamaanisha nini unaposema kitengo cha maafa. Kwa kukuelewesha Ofisi ya waziri Mkuu ni Idara ya Maafa na sio kitengo. Ukiamua kutoa mada tembelea hata website kabla ya kuandika jamboNimewaza kwa sauti tu
Kwani hujamuelewa?Kwanza hukafafanua unamaanisha nini unaposema kitengo cha maafa. Kwa kukuelewesha Ofisi ya waziri Mkuu ni Idara ya Maafa na sio kitengo. Ukiamua kutoa mada tembelea hata website kabla ya kuandika jambo
Unazungumzia unknown hakuna kitengo cha maafa.Kwani hujamuelewa?
Wenyewe watakuwa wameelewa,M
Unazungumzia unknown hakuna kitengo cha maafa.