Galacha Maestro
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 1,353
- 2,220
UNADHANI HELA UNAYOLIPWA KAMA MSHAHARA NI SAWA NA KAZI UNAYOFANYA?
Siku tulizonazo mwaka mzima ni 365
Punguza
Jumamosi na Jumapili (2 x wiki 52) = 104
Siku za sikukuu = 15
Likizo siku = 28
Siku za ugonjwa, kuzika paternity nk = 11
Jumla ya siku unazofanya kazi kwa mwaka mzima = 207
Kama nwajiri wako nakubalina nawe uje kazini siku 207 tu kwa mwaka, lakini nitakulipa muda tu ule unaofanya kazi ambao ni masaa 8 kwa siku.
Tupige mahesabu
Siku nzima ina masaa 24
Siku 207 ulizokuja kazini gawanya kwa 3 ( masaa 8 ni 1/3 ya masaa 24 kwa siku) ambapo tunapata siku 69 unazofanya kazi na kulipwa kwa mwaka.
Ukiangalia kwa makini unafanya kazi miezi miwili tu kwa mwaka mzima
Hivi ukiingia kazini saa 2 au saa 3 asubuhi, halafu ukaenda kunywa chai, kusoma magazeti kwa saa nzima hivi na mchana ukaenda kula saa nzima, ukirudi ofisini upige soga na kufanya issue zako binafsi.
Tuchukulie unafanya kazi masaa manne (4) kwa siku, ukirudi kwenye hesabu zetu utakuwa umefanya kazi siku 34 tu kwa mwaka na unadai ulipwe hela ya mwaka mzima kweli NCHI ITAENDELEA KWELI?
Mjumbe hauliwi.