unadeal vipi na anger?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
nikiwa na anger nakua nanuna kisha naondoka hiyo sehem. akili yngu huwa inaniiambia niondoke nisirudi tena najua ntatafutwa lakin naishia kuzurura narudi mwnyewe. nikirud nakua nakua nmesahau yaliyotokea. we unadeal vipi na anger?
 
natukana saana . Alafu naingia bafuni kupiga puli....kwa hasira uwaga namaliza mche mzima .nikitoka hapo aah freshh
 
Mimi huwa naingia kwenye gari nawasha alafu nakanyaga mafuta mpaka mwisho ( wakati gari bado ipo kwenye parking)...ile sauti ya engine inavyolalamika inanifanya nisikie ahueni sana!!!
 
Nanyamaza nahifadhi moyoni maisha yanaendelea... siku ya kuzitoa ni kuhakikisha aliyezisababisha anaumizwa zaidi yangu #its all about revange, and aiming for the highest
 
ukiweza kudeal na hasira positively uta enjoy sana maisha,

hasira inaanzia kwenye akili yako na ww ndo mwenye uwezo wa kuiendeleza ama kuositisha

eazy tui
 
Usipo muadabisha anae kutia hasira uta-trigger 'negative evolution'. Mfano: mtu akikugongea mke then ukampuuza anaweza akapropagate hizi undesirable genes through the sweat of your desirable genetic material
 
Nanyamaza nahifadhi moyoni maisha yanaendelea... siku ya kuzitoa ni kuhakikisha aliyezisababisha anaumizwa zaidi yangu #its all about revange, and aiming for the highest

kama unaweza bora useme mapema, kuweka kitu moyon mda mref inaweza kusababsha chuki na visas kama ulivyosema. visasi sio vzur unaweza ukaua. god forbid
 
Mimi huwa naingia kwenye gari nawasha alafu nakanyaga mafuta mpaka mwisho ( wakati gari bado ipo kwenye parking)...ile sauti ya engine inavyolalamika inanifanya nisikie ahueni sana!!!

unafanana na ndugu yngu. akipata hasira akil yke inamtuma kuharibu vtu. hajali kama kitu chake au si chake
 
Anger Inatokana Na Wewe Au Hiyo Sehemu,nakama Ukiwa Nayo Si Uachane Nayo Na Lazima Uwe Nayo ,mimi Mtu Akisababisha Anger Kwangu Naingia Dukani Navuta Gordons Mbili Namrudia Na Muzbag Ya Mrusi Hapo Ndo Atajua Why Asababishe Anger
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom