Kigongoi kwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 447
- 440
Katibu Mkuu aliwahi kusema eneo fulani kwamba tunafanya kila njia kwa gharama yoyote kuwarudisha kwenye chama wapinzani
Yeye ni msomi,lakini amewahi kulifikiria hili; kwamba umebeba wapinzani woote mpaka Dovutwa akawa nao kwenye chama chake huku akikumbuka kwamba wale ni wanasiasa, kazi yao ni siasa. Wamefanya siasa maisha yao yote na kwamba sio wote wanaweza kuacha siasa baada ya kuhamia kwake. Atawapa kazi gani huko?
Upinzani sio viongozi, unategemea kiongozi akiondoka wanachama watawafuata?
Vipi kuhusu wapinzani wa asili akina Davy, unadhani wakikutana huko hawawezi kutengeneza kundi la kukisumbua chama?
Na hawa waliokisumbukia chama muda mrefu nafasi yao ya kushiriki siasa ikoje?
Kwanini asifanye jitihada za kuwashamiwishi wananchi wajiunge kwa wingi kwenye chama chake?