Unable to activate windows

fite fite

Senior Member
Feb 27, 2017
113
94
Habari Wana jamvi,

Pengine Kuna mahali nakosea naomba kuelekezwa vizuri nafanya activation ya windows 10 pro. Lakini inaniambia .... Unable to activate windows.

Nikiweka key napata huu ujumbe hapa chini kwenye picha.

Pia nimetumia njia ya Cmd nako nimeambiwa .. unrecognized option
IMG_20200630_085840_252.jpeg
 
I also have big headaches with the activation of my windows 10. Does anyone know if I can get a key from somewhere? I am searching for cheap ways. :)
 
I totally understand the frustration that comes with Windows 10 activation issues. I've been there before, and it's definitely not a pleasant experience. I'm sorry to hear that you're going through the same thing.
 
Habari Wana jamvi,

Pengine Kuna mahali nakosea naomba kuelekezwa vizuri nafanya activation ya windows 10 pro. Lakini inaniambia .... Unable to activate windows.

Nikiweka key napata huu ujumbe hapa chini kwenye picha.

Pia nimetumia njia ya Cmd nako nimeambiwa .. unrecognized option
View attachment 1493010
Tumia cmd kufanya activation ingia kwenye hii chanel ya telegram wanatoa madini mengi ya teknolijia hata kuhusu kuondoa activation ya window wanakuonyesha simple sana.

Similar Discussions

Back
Top Bottom