Unabii Wa Nabii Isaya Juu ya Jerusalem

Jackal

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
9,539
12,654
Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, na kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, hata haki yake itakapotokea kama mwangaza, na wokovu wake kama taa iwakayo. Na mataifa wataiona haki yako, na wafalme wote watauona utukufu wako; nawe utaitwa jina jipya, litakalotajwa na kinywa cha BWANA.Isaya 62:1-2
FB_IMG_1512977826949.jpg
 
Huu unabii una maana gani?

Ulishatokea huko zamani? Au Umetimia hivi sasa?
Ama utatimia baadae?

Je ni unabii wa mara moja au unabii wa mara 2 (double prophecy)?

Yerusalemu inayozungumziwa hapo ni ipi, ni ya kiroho au mji wa yerusalemu tunaouona kwa macho ya kibinadamu?
 
Kumbuka Jerusalem haijawahi kaliwa na waisraeli toka enzi za mfalme Daudi na mfalme Suleimani zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita.Hata kipindi cha Yesu Kristo Jerusalem ilikuwa chini ya wa mataifa,warumi.Huu unabii unatimia kipindi hiki chetu ambacho tumeshuhudia kuundwa kwa Taifa la Israeli mwaka 1948,na Jerusalem ikiwa makao yake makuu!
 
Huu unabii una maana gani?

Ulishatokea huko zamani? Au Umetimia hivi sasa?
Ama utatimia baadae?

Je ni unabii wa mara moja au unabii wa mara 2 (double prophecy)?

Yerusalemu inayozungumziwa hapo ni ipi, ni ya kiroho au mji wa yerusalemu tunaouona kwa macho ya kibinadamu?

wafiadini hapo hawatakujibu mkuu kwasababu hawasomi maandiko bali wanakaririshwa tu huko makanisani
 
Ngoja waje wale wa upande wa pili. xo n vyema ukajpanga kwa ajr ya majb. Humu jf kuna watu wanamaswari had yanauzi
 
Kumbuka Jerusalem haijawahi kaliwa na waisraeli toka enzi za mfalme Daudi na mfalme Suleimani zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita.
hapana! Daudi alihamisha makao makuu yake kwenda Yerusalemu baada ya kuwatoa adui au wenyeji wa mji huo. Hivyo kusema haijawahi kukaliwa na Wayahudi ni uongo wa kiwango cha ushetani. Biblia imewataja Wafalme wengi tu wa Ufalme wa Yuda waliotawala toka Yerusalemu.
 
Jina Jerusalem liliitwa kipindi cha mfalme Daudi kabla ya hapo hapajawahi itwa hivyo.Matusi yako hayakusaidii zaidi ya kukuangamiza!
 
Yeru Salemi maana yake mji wa Amani. Mjii huu uliukuwepo miaka mingu sana tangu enzi za Ibrahimu na Kuhani Mkuu Melkizedeki. MelkiZedeki alikuwa Mfale wa Salemu ambao ndo Yeru (mji)Salemu (amani). Inakuja unakuja kusema haujawahi kuitwa hivyo. Soma maandiko ndugu.
 
sasa mbona unasema haijawahi kukaliwa na Wayahudi? wakati hata baada ya kutoka uhamisho wa Babeli walirudi kujitawala na Yerusalemu ndo mji wao Mkuu hadi walipokuja kutolewa kwa amri na Dola ya Rumi mwaka 70 bada ya Kristo.
 
Huo sio unabii,ni matarajio ya Nationalism tu,
ni kama chadema wanaposema iko siku mungu wao atawabarikia na watakamata madaraka .
Kumbuka kina isaya walikuwa ugenini na moja ya ndoto yao kubwa ni kurudi nchini mwao,
hata wewe ukiwa ugenini unateseka utakuwa ukimuomba mungu kuwa ipo siku utarudi kwenu na kuishi kwa furaha na amani,
hakuna unabii wala ubashiri hapo
 
wayahudi walirudi enzi za kina Ezra na Nehemia,
hii ya kurudi mwaka 1948 ndo fake yenyewe,
 
Kwanini ya mwaka 1948 unaiona fake? Kumbuka Wayahudu wametanga tanga duniani kote tangu mwaka 70 walipoondelea katika nchi yao kwa amri ya Dola ya Rumi hadi hapo 1948. sasa kurudi kwao kwanini watu wanawaona hao siyo? kuna waliojitokeza kwamba wao ndo wayahudi na siyo hao waliorudi Mwaka 1948?
 
Huo sio unabii,ni matarajio ya Nationalism tu,
ni kama chadema wanaposema iko siku mungu wao atawabarikia na watakamata madaraka .
Kumbuka kina isaya walikuwa ugenini na moja ya ndoto yao kubwa ni kurudi nchini mwao,
hata wewe ukiwa ugenini unateseka utakuwa ukimuomba mungu kuwa ipo siku utarudi kwenu na kuishi kwa furaha na amani,
hakuna unabii wala ubashiri hapo
wewe umejaza tumbo lakjo namaharage ya Mbeya titiiii! umebaki kujamba tu ndo maana hata vitabu vitakatifu unaviona si kitu. endelea kushiba na kujamba bwiii bwiiii bwiiii!
 
Back
Top Bottom