Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu

View attachment 1783717
Kwani Lema ni Mungu? Ipo siku na yeye atakufa
 
Time will tell
FB_IMG_16207457517648062.jpeg
 
Mi nataka anitabirie Saint Anne kanidondokea, nimuoe bila mahari...

Sema neno moja blaza Lema...

Mahaba hayana chama...

Mwamba Naona Tayari ushachukua Toto ujue...
Huyu Dada Ni Smart sana Ujue na Ni Mrembo Mwenye IQ kubwa tangu yupo Chuoni!
Hongera Mkuu Ila angalia asikupige kibuti,Kawapiga Kibuti wengi tuu! ila huwa nakukubali sana Mkuu Una Kipaji flan!!
Cc Saint Anne
 
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa nguvu

View attachment 1783717
Kituo kinachofuata ni mbeya alafu iringa
 
Back
Top Bottom