Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

Kwani kuna juhudi gani za maana sana zinatakiwa mtu kuwa waziri Mkuu ?

Mihemko tu ya kisiasa ya CCM ikipanda, wanamchukua na kumpachika kwenye hiyo NAFASI.

Samia aliwekwa tu kuwa Makamu wa Rais.

Makinda aliwekwa tu kuwa Speaker.

Hakuna utaratibu au juhudi zozote unavyoweza kusema, mtu apite hivi na vile apate hizo nafasi.

Labda unatabiri mihemko na mawazo ya watu.
Utangazaji mzuri wa mambo ya COVID labda.
 
Back
Top Bottom