Unabii: Ummy Mwalimu atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa kike

Mwenye mawasiliano yake tafadhari jamani my sister. Nina shida sana naye pengine anaweza nisaidia.
 
Hii Ndoto hata mimi nilishawahi kuiota ila kwa kwa kuwa wanasema ukiota ndoto nzuri usitangaze basi nikaamua kukaa kimya.
 
Habari za mda huu wakuu.

Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada.

Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT

Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Mama Corona yuko vizuri sana, akiteuliwa PM anaweza kuitendea haki nafasi hiyo, Mungu amuongoze Oddo Mwaimu
 
Ummy huyu huyu wanae msema kuwa kashikwa kichwa na mkurugenzi wa jimboni kwake ?au kuna ummy mwingine
 
niwakati sasa hizi nyadhifa tuwe tunaangalia sana exposure ya mtu kwenye anga za kimataifa vinginevyo tutakuwa tunapoteza muda sana kuamini hawa ndugu zetu local chicken...

mimi niliyekaa Yemen, Mogadishu, Chechniya, Romania nk siwezi kuwa sawa na huyu wa Tanga, dsm, dodoma au Lindi, dom, Mwanza, Dsm, nk nk....
 
kwa upeo upi wa kufikiri alionao?
TAMISEMI tu inamchemsha
Habari za mda huu wakuu.

Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada.

Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT

Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ummy bado sana, siyo proactive kwanza.Pili, hatofautiani sana na Jaffo hajiamini na anapenda sana kusifia sifia.Tatu, ameanza kuwa mtu wa media sana ili aonekane kuwa anachapa kazi,kero zinazoelekezwa kwenye wizara yake hafanyii kazi yuko busy kuzunguka na kutoa matamko. Wizara kama TAMISEMI ina vitu vingi Ummy kama Ummy haiwezi, muda utaongea pale CAG atakapoanza kushusha nondo zake.Hiyo wizara mpeni Lukuvi hatuko hapa kufurahishana 2025 siyo mbali.Haya madaraka ya kupeana ndio yanayotia hasira watu eti leo Said Mtanda ni DC tena,Batilda Burian ni RC tena.Taifa hili lina watu smart wengi tu, je ni hawa tu ndio wana haki ya kuwa viongozi? Inasikitisha sana.
 
Habari za mda huu wakuu.

Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada.

Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT

Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweh kama itatimia bac pale GOMBERO kwa wadigo patawekwa sanamu yake
 
Vyuma alivyonoa JPM
Ummy ni kati ya mawaziri walifundishwa na kukomazwa kiuongozi na shujaa
Ummy dada ya korona
Rest well John Pombe Magufuli
Yaan ww mzimu wa ******** bado unakuandama hebu fanya mpango ulale juu ya lile kabur labda huo mzimu utakuachia
 
Habari za mda huu wakuu.

Leo nmeona jamaa mmoja humu kaandika kuhusu hili na nmekuja kuyawasilisha mawazo yake yeye alitoka kama comments nmeamua kuleta kama mada.

Na Mimi pia naafiki ipo siku Odo Ummy atakuja kuwa PM. Wa JMT

Naomba tuwe wavumilivu na wasikivu tu nyota yake inang'aa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakua lini iyo ,mbona hata dalili haipo, Mungu anasema wenda mh Majaliwa ndo waziri mkuu wa mwisho tokana na ccm,Sasa ngoja ufike alafu mlazimishe Kama ya 2020, mtajuta zaliwa
 
Back
Top Bottom