ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,697
Kuna mtabiri anatabiri hapa kwamba zanzibar itakapotimiza miaka mia ya uhuru wake hapohapo ndipo mambo yatageuka na Tanganyika itatawaliwa na Zanzibar kwa miaka mia mbele. Wao ndio watashika sekta zote muhimu za uchumi za tanzania bara, watakuwa na nguvu ya kumuweka raisi wanaomtaka wao na hata kufuta matokeo , na wakati huo watanzania bara wakakapokuwa wanalalamika watajibiwa wavumilie kwani hata wao babu zao walivumilia . Tuwaandae kisaikolojia watoto na wajuku wetu.