Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,069
- 8,326
Ha ha haa aisee kweli we ulizoea. Mimi mpk leo naogopa maji baridi asbhMie nilisoma Iringa, nilikua naoga kila siku asubuhi na nikitoka hapo sivai sweta. Mwili ulizoea hiyo hali kiasi kwamba nisipooga asubuhi wakati wa break saa nne lazima nikaoge kwanza.
Nikifika nilikua sijishauri ni kujipaka povu mwili wote na kujimwagia Maji, Maji ya moto nikioga naona yanaongeza kuhisi baridi na hayaondoi uchovu.