Kwani Wew Mke Wa Mtu?mke wa mtu unaanzaje kuvuliwa nguo...
kutongozwa,kutoa namba ya simu mpk kuingizwa gesti....!!
mshenzi hapa na mchafu ni mwanamke
"Huungi mkono lakini hujilaumu " ebu kuwa muwazi kidogo."....Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu...."
Siungi mkono kuwavua pichu wake za watu ila sijilaumu
Ngono salama ndiyo ikoje mkuu
sio kutongozwa tu atakua ameshaliwa kabisaNitoke nje ya mada kidogo...Kwani umetongozwa monicca?
Na hii post yako tuiunganishe na hii?Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.
Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?
Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.
Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?
Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.
Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?
Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.
Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.
Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.
Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..
Karibuni
Haahaa.. hivi siku hz mtu anavua mwenyewe au anavuliwa chu.pi?Kwani yeye anaanzaje kumvulia chupi mtu asiye mumewe?
Acha na nikuibeVya wizi vitamu!
tuache uzinzi jmn mungu anatuona
Maradhi yataisha endapo ngono salama itafanyika.
Mke wa mtu mtamu sana. Anakufanyia mambo kuliko kwa mumeweWanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.