kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,045
Pa ukiona mmama anaanza kukusimulia matatizo yake ya ndoa mkiwa wawili, ujue picha lishaanza hapo!Tena uwa wanaanza na body languages na anavyokuangalia tu unajua tayari mchezo umekwisha ni wewe kuanza mchakato kujipanga na kuconclude game