Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

Tena uwa wanaanza na body languages na anavyokuangalia tu unajua tayari mchezo umekwisha ni wewe kuanza mchakato kujipanga na kuconclude game
Pa ukiona mmama anaanza kukusimulia matatizo yake ya ndoa mkiwa wawili, ujue picha lishaanza hapo!
 
NIMVUE KWANI HANA MIKONO? ANAVUA MWENYEWE TU.

Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..

Karibuni
 
Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.

Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?

Ijazie hizo nyama thread yako.
unaakili kama MKAPA
 
Upo sahh mku naon mahala pa kuanzia ni hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa wewe ni mke wa mtu unapata wapi mda wa kusikiliza jinsi anavyokupiga sound, tatizo limeanzia hapo unapompa mda wa kumsikiliza anachotaka, huko kuvuliwa nguo ni mbali sana.
 
Mimi nlikuwa mkulima wa nyanya. Sasa alikuja mke wa mtu akanunua nyanya mara kadha sasa ikafika kipindi hela harudishi sasa ikabidi niombe mzigo huku nafsi inanisuta lakini nikikumbuka hela yangu nafsi inauma basi akaja geto nkala mara moja nkaendelea Nlikula kama mara tano sasa. Sasa wakaenda kugombana na demu mmoja ambaye nlikuwa nakula enzi hizo baada ya kuolewa nkajiweka mbali. Ishu ikasanuka .siku nkaona kundi la wadada kama watano pamoja na Yule mke wa mtu aliekula hela za nyanya wakaniita sio mbali kutoka my home kwangu kama hatua 200 tuu chini. Nilipofika pale nkashtuka kuna nini hapa na Yule mke wa mtu yupo na mmoja namfaham wengine siwajui wakajitambulisha ni mawifi wa huyu dada. Wakaanza kunisimulia jinsi wifi Yao alivogombana na Yule mwanamke na kutoleana maneno ya aibu mbele za watu. Walinichamba Sana. Japo nliwakatalia mi sina sina mahusiano na wala simli WiFi Yao. Halafu wale mawifi wote walikuwa hawajaolewa Wana watoto Tu nyumbani kwao. Japo nlikwepa mikuki but nlikosa Amani Sana. Mwingine alinidanganya kumbe mke wa mtu mi nkaanza Kula polepole. Siku napiga simu ya Yule dada anapokea mwanaume alinichimba mkwara .nilijaribu kumdanganya kumbe ananifahamu . Conclusion nyie wadada muwe wakweli msiseme hamjaolewa kumbe mmeolewa na acheni tamaa ya pesa mnaingiza wanaume kwenye majaribu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ishu isiishie kwenye mwanaume kuanza kumvua nguo mke wa mtu, ifikie mpaka kwenye - Mke wa mtu kukubali kuvuliwa nguo na asiye mume wake.

Kuuongelea upande mmoja, unamaanisha kua wake za watu ni wepesi kukubali? Hawawezi kukataa?

Ijazie hizo nyama thread yako.
Dah....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume ni watu ambao ufahamu wao unaweza kuwa interrupted kirahisi zaidi linapokuja suala na tamaa ya ngono.

Hebu fikiria ujasiri huwa unatoka wapi wa kumtongoza mpaka kutembea na mke wa mtu?

Jibu ni moja tu kipindi anafanya hivyo anakuwa akili zake haziko kawaida, fikiria kidogo uchungu wa mke au mume.

Vipi ukimkuta mwanaume mwenzio juu ya kifua cha mkeo?

Maumivu unayoyapata ndiyo anayoyapata mwanaume mwenzio pale anapogundua mkewe kaliwa nje.

Ukitaka kujua hili jiulize baada ya tendo kwanini unajilaumu?

Akili haiwezi kuja mpaka mbegu zimetoka wanaita bao sijui mara round moja.

Inamaana akili za mwanaume huwa hazifanyikazi kabisa kabla ya kupizi.

Nisaidieni niwaelewe nyie viruka njia msiyokuwa na haya.

Najua walioguswa zaidi wenye hekima watajirekebisha..

Karibuni
Weww mwenyewe ni kiruka njia tu hujawai kutoka nje ya ndoa pia yy anakubalije mufanya na mm wakat anajua fika ana mume wake kama hajaona so yy mimi mwanaume natupia tu mabao na mavoko. Yangu a mpka ndege aingie tunduni kwani nn buana unamvua tu tena wake za watu ni watam baraa harafu wanajua mambo coz ni wazoefu hizo kazi.

Sent using iPhone.
 
Back
Top Bottom