Unaangalia vigezo gani unapoamua kuchagua mpenz

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,040
21,513
Kuna vile vigezo ambavyo ni common 2evrybody lyk mcha Mungu,tabia njema,mwadilifu,mueledi,mchesh,mpole,muanifu etc. But kuna kile ambacho wewe unahis kinakufanya umchague yule na si yule. Here am talking abt Phyzique
 
mwanamke awe ni guu na wowowo full stop......

mengine ni kuongezea...
 
naamaanisha awe na guu guu

wowowo wowowo......

mengine kwa chati.....
 
duuh,2po weng

nilie nae sasa hivi popote ninapopita nae....
watu hutazama wowowo lake tu.....

ni mrefu na wowowo la nguvu......

na mimi huwa nawatazama macho yao,wanavyokodolea wowowo lake...
it feels kama umekamata kombe la dunia hivi....
 
nilie nae sasa hivi popote ninapopita nae....
watu hutazama wowowo lake tu.....

ni mrefu na wowowo la nguvu......

na mimi huwa nawatazama macho yao,wanavyokodolea wowowo lake...
it feels kama umekamata kombe la dunia hivi....

hahahaha,babu k2 UEFA HIKO
 
lizzy nimekujibu swali lako..
jje wewe vipi?
una wowowo la kutosha?????
 
kwa maisha yalivyokuwa magumuu kigezo kwa kwanza unaagalia,,
Elimu,,Elimu ndio key ya maisha,,
Yanayo fuata...

Uzuri wake,
Culture,desturi mila,,kama inaendana na wewe,,au umependezewa,,
Respect,,,
Appearence yake kwa muono,,,
Maongezii
kucheka,,
smilling,,
guu guu
bata, tena orginal sio wa mchina
maziwa,
mdomo,
sura,kipua,nywele za kuchezea tena zake mwenyewe sio wigii,
asiwe na tumbo,akicheka acheke kwa poz,sio sauti inapaa kama msanii,,,
Akivaa awe anapendeza,awe anajua kuvaa,,,
rangi usichaguee,,
Lakini kitu muhimu jee mumekutana mazingira gani ? wengine kama lodi lofa atakuchomoa pochi tu sifa nilizokupa
teh teh teh teh
 
pesa mbona wenzi sisi ni share holders wa benki zote tz.
nmb,crdb....

sema kingine...
pesa zimejaa zatafuta watumiaji...
Hehehe!Kwahiyo nijiandae kuspend mpaka niumwe ehh?Watu kama wewe ndo wanaotakiwa hapa duniani ili wadada tupate raha!Usije tu ukawa mgawa kipondo kama mwenzio yule.'
 
Back
Top Bottom