Unaamini nini katika maisha yako?

Naamini maisha ni muda na muda ndo huamua kila kitu

NB: pale ambapo nafasi na kujiandaa hukutana pamoja ndipo pazaliwapo bahati
 
Nothing is permanent, Nothing gonna last forever.

And it's just a matter of time.
 
Naamini miaka 90 ijayo kuanzia tarehe ya leo sisi sote tutakuwa marehemu.
Baada ya miaka hiyo dunia itakuwa na watu wengine wapya ambao hawapo duniani kwa sasa
 
Imani ya kufikiria kwa kutumia akili yaani ubongo ni imani potofu. Akili yako sio sio kipimo ndio maana Robot anaweza kutengenezwa akakuzidi akili mfano akajua hesabu, mchezo wa chess au lugha mbalimbali. Kuna kitu zaidi ya mawazo yetu ambacho hakina mwanzo wala mwisho wala huwezi kukielezea kwa hii akili ya kawaida ukaelewa. Kiko ndani ya kila kiumbe kilicho hai . Baada ya maisha haya mafupi hapa Duniani hiyo nguvu itarudi ilipotoka.
 
Naamini katika serikali ya awamu ya tano chini ya Dokta John Pombe Magufuli.
 
Imani ya kufikiria kwa kutumia akili yaani ubongo ni imani potofu. Akili yako sio sio kipimo ndio maana Robot anaweza kutengenezwa akakuzidi akili mfano akajua hesabu, mchezo wa chess au lugha mbalimbali. Kuna kitu zaidi ya mawazo yetu ambacho hakina mwanzo wala mwisho wala huwezi kukielezea kwa hii akili ya kawaida ukaelewa. Kiko ndani ya kila kiumbe kilicho hai . Baada ya maisha haya mafupi hapa Duniani hiyo nguvu itarudi ilipotoka.
Kitu gani sasa mbona unaficha ficha weka mambo hadharani

Akili haina mipaka ndo inaongoza kila kitu, Akili inaongoza Hisia, Imani na msimamo.

Akili yako sio kipimo cha nini?

Hilo robot linakushangaza nini? Si limetengenezwa na mtu? Mtengenezaji ndo wa kusifiwa na sio robot.

Sijui kama nakuelewa au tunapishana uelewa.
 
Akili ni zana ya kazi tu kama ilivyo miguu au mikono katika kutimiza majukumu mbalimbali. Watu wengi wanafikiri akili ndio kila kitu. Tulia taratibu focus within yourself then you will see. Kutengenezwa kwa robot na binadamu kusikupe wazo la kutoka nje ya huu mtiririko . Bingwa wa Dunia wa Chess Garry Kasparov alikuja kufungwa vibaya na Computer ya IBM ijulikanayo kama Deep Blue. Mchezo wa Chess unajulikana kama mchezo wa kutumia akili sana. Akili haingozi chochote kwenye mwili ila yenyewe ndio inaongozwa. Lakini inakuonyesha kama yenyewe ndio kila kitu.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom