Unaamini katika Karma, kwamba malipo ni hapahapa duniani?

Nimejiuliza alshabab ,boko haramu n.k na hao watalipwa na nani maana kila siku wanawatendea watu mabaya
Mkuu mbona wanalipwa kila siku. Wanalipuliwaga huko, unakufa hakuna wakukuzika kukupa heshima yako ya mwisho. Unaachwa tu chakula Cha ndege na fisi wakudonoe hadi uishe.
 
Kwanza, karma haihusiani na loss ama failure ama negative incidents peke yake -- ina pande mbili za sarafu. You can be cursed for an evil act ama uwe blessed for a generous one. The more you offer blessings to others, the more you create room for even more blessings that are even far greater in value.

Pili, unasema "ni idea ya kizamani"! Do you accept or reject something on account of its longevity??? Karma (ama lawa of blessing & curse) is a divine hand ya kuwasaidia wanadamu watambue kwamba anatawala juu ya viumbe wote. He is in control! Can you imagine even Bill Gates knows and accepts this!

" Hiyo ndiyo mnaita KARMA?" Eeeh! Na zaidi ya hapo. Inapenya kila sekunde ya maisha ya kila mtu! We know you have more answers than mere retortion, don'nt you? The law of curse & blessing is as real as the very letters you are just reading!
KARMA huwezi kuithibitisha kwamba ipo nje ya perspective view sasa nakuona unaingia katika wigo mwingine (curse) ambao nao huwezi kuthibitisha kivyovyote kihalisia kama laana ipo

karma ni imani ambayo kiasili imetoka kwenye dini ya kihindu na buddhist maana yake ni
"jumla ya matendo ya mtu katika hali hii ya sasa na ya awali ya kuishi kwake, inayoonwa kama ndio huamua hatima yao katika uwepo wa siku zijazo. "

kwahiyo basically kuamini ufafanuzi huu wa KARMA kua ni sahihi inamaanisha unashikamana na imani ya Uhindu au Ubudha, pamoja na imani ya kuzaliwa upya na aina fulani ya uchukuaji wa hatia au uhalali wa kiroho ambao huamua "hatima ya uwepo wa baadaye . ”

kwamba hata ukatoliki unapingana na dhana hii ya karma kwasababu kama imani ya ukatoliki ni kuwa Mungu anajua matendo yetu na, katika maisha haya au baada ya kifo, atatuwajibisha na kutulipa ipasavyo. kwanini kuwe na nguvu nyingine ya kibinafsi juu ya "ulimwengu" au nguvu fulani isiyo ya kibinafsi au uungu iwe na mamlaka ya kutuadhibu au kutupatia tuzo kabla au baada ya kifo?
 
Nimejiuliza alshabab ,boko haramu n.k na hao watalipwa na nani maana kila siku wanawatendea watu mabaya
boko haram jana wamechinja wakulima zaidi ya 100, halafu anakuja mpotoshaji kutuambia malipo ni hapa hapa duniani

hii ni kwasababu wameshindwa ku-overcome cirumsictance iliyopo mbele yao so wamechagua neno KARMA litumike kama faraja pale ambapo hawana option

hii ni sawa na sawa na kauli ya "kusema magari na pesa ni vitu vya kupita" baada yajitihada za kutafuta pesa kugonga mwamba
 
Kuna MTU alimnyanyasa kijana wake zaidi ya miaka 19 huu mwaka WA ishirini kipindi cha Corona aliona haitoshi alimkashifu Kwa maneno kuwa hamtambui,afuate maisha yake , baada ya muda mfupi Yule Baba amepata mavidonda ya ajabu. Familia imeamua kumfungia ndani, sijui ndio KARMA?.
Duh!
 
Sina uelewa sana kuhusu karma but umenikumbusha kuna wadada 2 walinidhulumu pesa yangu laki 4 mwaka 2017. Niliwadai na kuwafwata mpaka kwenye nyumba zao ila sikufanikiwa. Baada ya miezi 4 kusumbuka nikaamua kusamehe nikaendelea na maisha

Ghafla walikuja kunitafua wao wenyewe kuniuliza niko wapi nikachukue hela yangu. mmoja nilimkuta anamuuguza mume wake ICU baada ya kuvamiwa na vibaka usiku akiwa anatoka kazini na mwingine mume wake aligonga mtu barabarani na aliyegongwa naye alikuwa ICU.

Nilijisikia vibaya sana kwa matatizo yaliyowapata maana niliona kama vile lile deni ndio limesababisha hayo yote
 
Mjifunze kwa Israel kuwapa baraka watoto wenu wakiwa bado malaika hasa siku mtoto anakatika kitovu itumie siku hiyo kumbariki na kumuwekea ulinzi wa Mungu, kwamba akubarikie awe amebarikiwa na akutendaye mabaya awe amegusa jicho la Mungu na Mungu akutetea hapo unakuwa umemuwekea mtoto ulinzi wa Mungu tangu mdogo na wengine wanaongezea na ulinzi wa mizimu ya ukoo na special spirit guide hao ndo karma zao niwakuogopwa maana zipo automatic tangu utoto wao, na haya mengine makubwa Kama kuua hiyo lazima upate adhabu ya Mungu maana damu na roho ya utu vimebeba uungu ndani yake.
 
Hakuna kitu kama hicho, waovu wengi ndio wanaifaidi dunia. Wema ndio wamataabika duniani, if you want to enjoy life, be cruel.
 
Siyo Kila mtu anaweza kuacha karma kwa mtu inategemea na matambiko uliyofanyiwa wakati unazaliwa ndo maana watoto wa zamani walipozaliwa walipelekwa kwenye asili zao kufanyiwa matambiko kwa huyo mtu wa hivyo akinungunika tu kwa mkosaji wake lazima aumie, na wengine wanafanya baada ya kukosewa na hapo lazima uwe umekosewa ndo anafanya matambiko ya asili na wanakuwa wameachiwa na wazee wao hizo mbinu lazima utaumia tu, hivyo siyo Kila mtu.
No! Kama ni supernatural from God. Acha habari zako za kishirikina!
 
Siamin katika karma wala nini upuuzi tu..kama jambo linakutokea linakutokea siyo kwasabu nyingine yoyote bali ni kwasabu ya nature tu.....wanasiasa kila siku wanaua na hatujawah kusikia tatizo lokote limewapata hiyo karma inakuaga wap?
Watu mtaan huku tunatendewa maovu kila kukicha na wanaofanya hayo maovu yanapeta tu..mwiz anaiba kila siku na hakamatwi..
Karma ni iman yako tu..
 
Karma (law of curse & blessing) hainaga time; Mungu ndiye anapanga kwa karima aliyonayo (His special divine providence)! Inaweza kuja muda huohuo, inaweza kuja after 5, 10 or so many years ama isije kabisa kwa kipindi cha maisha ya mhusika, ikaja vizazi vyake baadaye, au pengine akasamehewa isitokee kabisa. Mwenye kujua timing ya hii special divine law of retribution ni Maulana pekee! Inatosha kwetu kujua kuwa HAKIKA lazima itokee kama Mungu hajaipindua!
 
Sina uelewa sana kuhusu karma but umenikumbusha kuna wadada 2 walinidhulumu pesa yangu laki 4 mwaka 2017. Niliwadai na kuwafwata mpaka kwenye nyumba zao ila sikufanikiwa. Baada ya miezi 4 kusumbuka nikaamua kusamehe nikaendelea na maisha

Ghafla walikuja kunitafua wao wenyewe kuniuliza niko wapi nikachukue hela yangu. mmoja nilimkuta anamuuguza mume wake ICU baada ya kuvamiwa na vibaka usiku akiwa anatoka kazini na mwingine mume wake aligonga mtu barabarani na aliyegongwa naye alikuwa ICU.

Nilijisikia vibaya sana kwa matatizo yaliyowapata maana niliona kama vile lile deni ndio limesababisha hayo yote
Duh! Pole sana aisee! Nawaonea huruma sana ambao bado hawaamini the natural law of curse & blessing (karma or curble).
 
Yaan mi baada ya kugundua naonewa tu na wale wanaonionea hamna chochote kinachowapata sahiv nimeona ni ufala huo hakuna cha karma wala nini ukinionea nalipiza mara mbili yake nageuka karma mi mwenyewe sitegemei karma aje anilipizie wkat mwenyewe naweza..
Achana na kuzegemea karma usikubali kuonewa..akianza maliza shubamit!
 
Siamin katika karma wala nini upuuzi tu..kama jambo linakutokea linakutokea siyo kwasabu nyingine yoyote bali ni kwasabu ya nature tu.....wanasiasa kila siku wanaua na hatujawah kusikia tatizo lokote limewapata hiyo karma inakuaga wap?
Watu mtaan huku tunatendewa maovu kila kukicha na wanaofanya hayo maovu yanapeta tu..mwiz anaiba kila siku na hakamatwi..
Karma ni iman yako tu..
cc: Grena
 
Yaan mi baada ya kugundua naonewa tu na wale wanaonionea hamna chochote kinachowapata sahiv nimeona ni ufala huo hakuna cha karma wala nini ukinionea nalipiza mara mbili yake nageuka karma mi mwenyewe sitegemei karma aje anilipizie wkat mwenyewe naweza..
Achana na kuzegemea karma usikubali kuonewa..akianza maliza shubamit!
careenjibebe haina maana kwamba kuacha kulipiza kisasi ni kukubali kuonewa, bali wewe unatakiwa uwe na akili yenye busara kuliko mdhilimu wako! Kumbuka mwanadamu yeyote anayekutendea ubaya huwa kimsingi yuko out of mind -- anatawaliwa na nguvu nyingine ndiyo maana anafanya matendo ya kuyajutia baadaye. Do your best kuonesha ubaya wa tendo husika but not kumfanyia unyama wala kulipiza kisasi. By the way, hakuna kisasi kikali sana kumtendea adui kuliko kusamehe na kusonga mbele na malengo yako. Karma (law of curse & blessing) is real! Ukiivuruga huwa inakugeukia wewe mwenyewe!
 
Yaan mi nimepata kazi nzuri nipo kazin nakula maisha yangu na kazi yangu hlf fala moja anakuja huko alipotoka anakufitinia ile kazi mpaka unafukuzwa...na ukimuangalia yeye ananawiri tu na maisha yake wakat wewe unakaza matako kusugua kisigino ufanikiwe..
Hachoki bado anakuangalia unafanya nini aje akumalize tena kisa tu mmekosana kwenye mapenz bas hataki kukuona una furaha unatumia busara gan hapo kumuepuka?
Asee nina hasira kama za mbogo...nakurudishia hlf huyo karma tumuone..
Karma? Si angekuja kabla janga halijatokea..yaan nitibuliwe ndo karma ajifanye anajua sana kaz yake? Hujatendwa wewe..mie sahiv nakuzingua kama sikuji asee
 
Habari zenu wakuu,

Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya.

Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua nimekosa nitaomba msamaha kwa niliyemkosea Kama nitashidwa kumface ama kumpigia simu ntatuma hata text ili mradi ujumbe ufike that I feel sorry for what I did.

Niliwahi kumkosea mtu akahuzunika kwa ajili yangu, aliniita kiustarabu na kunieleza sikumtendea vyema Hadi akafikia kulia, nilijiskia vibaya lakini sikujali. Fast forward years later same thing happened to me, Nililia hata kushinda yeye. Nikakumbuka it's karma nikasema lazima nimuombe msamaha, sikuwa na nguvu ya kumpigia simu nlimtumia text, alinipigia we spoke akanambia alinisamehe kitambo, nikaskia moyo wangu umepata amani Sana.

Kisa Cha pili, Kuna Mama alinitapeli pesa yangu ya biashara. I trusted her sababu alikuwa mtu mzima na alikuwa mke wa mchungaji. Nikampa pesa ya mzigo akaniletea Mara tatu ya nne akaanza kunizingua ooh, mzigo haupatikani wakati yeye kila siku analeta wake. Nilimdai Hadi nikachoka, napiga sim hapokei. Baada Kama ya miezi miwili hivi nikaenda kwake nilimpata anaumwa, kakonda anaanza kunambia she has been sick na hajawahi kuumwa hivyo, kazunguka mahospital katumia gharama kushinda hata pesa ninayo mdai. Nikajiambia hiyo ni Karma, nilimwonea huruma nikamsemehe na Deni.

Tuwatendee wenzetu wema. Karma never miss it's address, Malipo ni hapahapa duniani.
IMEANDALIWA NA TOSH ALKEBULANI LION

Destiny.....Roho yako ilivyojipangia mwisho wakati unavaa mwili. Roho ni sehemu ya UTAKATIFU MKUU....Ikiwa inataka kupata uzoefu wa dunia ta mwili huamua kuvaa mwili kwa maagano yake.

Kuwa naenda ulimwengu wa mwili...kazi yangu itakuwa hii na ile huko. Nikiimaliza nitarudi katika SOURCE kwa njia hii hapa n.k.

Baada ya hapo ROHO INAPEWA NGUVU YA HIYARI(FREE WILL POWER) au WILL POWER.

WILL POWER ni kitu muhimu sana kukielewa!!!

Hii NGUVU YA HIYARI INAKUWEPO ili kuendana vizuri na MWILI NA UWEZE KUPATA KILE UTAKACHOAMUA WEWE LWA UHURU WAKO MWENYEWE

Na hapa ndipo binadamu hupewa UTASHI. Viumbe wengine wana FREE WILL limited sana na wao wanaendeshwa na GREAT SOUL AU UTAKATIFU MKUU kwa programu zilizowekwa ndani mwao vizazi vyao vyote.

Sasa bila FREE WILL binadamu asingekuwa na MAAMUZI angeishi kwa kupelekwa na nature kama viumbe wengine.

Hivyo FREE WILL ni muhimu sana kuielewa. Huwa inafuta mambo mengi sana.

Kama Mungu mbona haji kusaidia wanaopata shida n.k.....HIZO SHIDA NI CHSGUO LA BINADAMU.

BINADAMU AMEPEWA UHURU KWA KUPITIA UTASHI ANAWEZA KUAMUA HATMA YAKE.

Hii ni BARAKA NA LAANA KUU KWA BINADAMU.

Hivyo binadamu wa akichagua kuwa mjinga wa ASILI AU MAMBO YA KIROHO YA KWELI BASI matokeo yote ni yeye tu amesababisha.

THE GREATEST SIN(FAULT) OF MAN IS THE IGRONCE OF GOD(NATURE/SPIRITUALITY).!!!!

Sasa binadamu kwa utashi huzaa kitu kinaitwa FATE.

Fate huzaliwa na kanuni ya CAUSE AND EFFECT(KISABABISHI NA MATOKEO).

Na cause and effect huzaa/huzaliwa na KARMA.

FATE, KARMA, CAUSE AND EFFECT zinazaliwa na FREE WILL POWER.

Sasa tuchukue mfano ufuatao.

Roho wakati inaumbwa ilichagua kuwa ITAISHI MIAKA 150 DUNIANI na itakuwa ni MWALIMU WA KIROHO na kwa kufanya hivyo itatimiza utimilifu na kuweza kupokewa tena katika CHANZO N.k

Pia inapewa MWONGOZO PEKEE AMBAO NI ASILI!!

YAANI ITAKAVYOKUWA MWONGOZO NI NATURE MAANA ASILI INA AKILI YA ROHO KUU TAKATIFU...!! SPIRITUALITY.

Baada ya agano hilo basi inapewa HIYARI PIA YA KUBADILI inachotaka na kupambana kufanya ilichochagua kwa ufasaha ili iweze kupokewa katika chanzo n.k.

Sasa hiyo roho inazaliwa/kuvaa mwili katika hali fulani inayoikuta. Inaanza maisha kwa vitu na hali itakayoikuta.

Ikikubali kupokea hali hiyo hata kama iko tofauti ni sawa tu. Maana ina HIYARI HIYO.

Ikiamua kufuata spirituality basi itatimiza AGANO LAKE n.k.

Sasa kutokana na mazingira au kufuta mifumo yenye ujinga wa NATURE/MUNGY n.k sasa inaanza kujitengenezea FATE yake yenyewe.

INACHOSABABISHA NDICHO ITAKACHO KIPATA(CAUSE AND EFFECT).

Hapa izaliwa KARMA.

Sasa KARMA inafanya kazi kwa KANUNI YA MVUTANO.

yaani kuna kanuni katika asili hasa katika level ya kiroho inaitwa LAW OF ATTRACTION.

YAANI KATI KIROHO VITU VINAVYOFANANA HUVUTANA NA VISIVYO FANANA HUKWEPANA.

HII NI TOFAUTI NA SHERIA ZA KIMWILI KAMA USUMAKU, CHAJI ZA UMEME n.k

Sasa KARMA IKO HIVI;

Ukimsababishia mtu(roho nyingine maumivu) ni kuwa yale maumivu yatatunzwa kwako kwa njia ya roho yako kujisikia hatia n.k

Yaani kila ufanyacho ROHO YAKO NDIYO MEMORY!!!!!

Hata ukifanya kwa mtu mwingine....ROHO YAKO INAHESABIA NI CHAKO MAANA UMEFANYA WEWE NA KINAKUHUSU AU UNA CONNECTION YAKO.

YAANI INATII CHAGUO LAKO. INATIMIZA JUKUMU LA KUKUTUNZIA UTEKELEZAJI WAKO WA MAJUKUMU YA HAPA DUNIANI. ROHO NI TIIFU SANA.

UKIAMUA HIKI NA KILE INAKUTUNZIA JWENYE FAIL LAKO!!!!

HII KWA KISASA WANAITA SUBCONCIOUS MIND.

Sasa kwa vile roho inatimiza unachotaka na asili inatumia LAW OF ATTRACTION basi;

ROHO ITAKUWA INAKUONGOZA KATIKA VILE VYOTE AMBAVYO ULIVIFANYA NA YENYEWE KUKUHIFADHIA!!!!!!!(Hii ni muhimu sana kuelewa karma).

Kama ilikuhifadhia maumivu ulowahi kusababisha na kujisababishia basi itahakikisha upo wakati lazima ukuongoze huko!!!!?

Hapa ndipo mambo ya 'BACKFIRE' yanakuja.

Ulifanya majungu mwenzio akafukuzwa kazi. Roho inaliweka hilo....itavuta hiyo hali mpaka itimie kwako pia.

Hii inatokea siyo kosa. Bali roho kama MEMORY ina tabia ya kujisafisha.

Ikiweka kitu ambacho hakikuhusu au kikikaa sana ndani yake itatafuta namna ya kuki delete!!

Itaendelea

Imeletwa kwenu na CHILAMBO CHILAMBO
 
Habari zenu wakuu,

Karma limekuwa neno maarufu Sana likitumika kumaanisha usimfanyie mwenzako ubaya, maana na wewe utalipwa ubaya.

Binafsi sikuwa naamini Sana kuhusu karma, Hadi siku iliponitokea nikaamini Kwamba malipo ni hapahapa dunia. Na kitu nilichojifunza nikimkosea mtu na nikagundua nimekosa nitaomba msamaha kwa niliyemkosea Kama nitashidwa kumface ama kumpigia simu ntatuma hata text ili mradi ujumbe ufike that I feel sorry for what I did.

Niliwahi kumkosea mtu akahuzunika kwa ajili yangu, aliniita kiustarabu na kunieleza sikumtendea vyema Hadi akafikia kulia, nilijiskia vibaya lakini sikujali. Fast forward years later same thing happened to me, Nililia hata kushinda yeye. Nikakumbuka it's karma nikasema lazima nimuombe msamaha, sikuwa na nguvu ya kumpigia simu nlimtumia text, alinipigia we spoke akanambia alinisamehe kitambo, nikaskia moyo wangu umepata amani Sana.

Kisa Cha pili, Kuna Mama alinitapeli pesa yangu ya biashara. I trusted her sababu alikuwa mtu mzima na alikuwa mke wa mchungaji. Nikampa pesa ya mzigo akaniletea Mara tatu ya nne akaanza kunizingua ooh, mzigo haupatikani wakati yeye kila siku analeta wake. Nilimdai Hadi nikachoka, napiga sim hapokei. Baada Kama ya miezi miwili hivi nikaenda kwake nilimpata anaumwa, kakonda anaanza kunambia she has been sick na hajawahi kuumwa hivyo, kazunguka mahospital katumia gharama kushinda hata pesa ninayo mdai. Nikajiambia hiyo ni Karma, nilimwonea huruma nikamsemehe na Deni.

Tuwatendee wenzetu wema. Karma never miss it's address, Malipo ni hapahapa duniani.
ROHO SEHEMU YA PILI

SASA KATIKA KUKITEMA hapo ndipo inafuta kwa wewe kufikwa na hilo jambo au hali ambayo umewahi kuifanya
iwe NZURI AU MBAYA.

Tuendelee
Mwandishi ni Rajab A. Mumbee(MUMBE AMWA MOMBEE).

Whatsapp: +255718442132.

YAANI ROHO INA TABIA YA KUTEMA NYONGO. NA HIYO NYONGO NI LAZIMA ITEMWE KWA HALI HALISI...YAANI UTEKELEZAJI WA VITENDO...REAL SITUATION.

Hivyo kama uliwahi kufanya ubaya basi ubaya huo jua uko kwenye roho yako. Ipo siku roho itautema kupitia wewe. Ubaya utatokea kwako...roho itakuongoza kutekeleza hilo.

Kama uzuri vile, vileee!!

Hili ndilo libaitwa dhambi na baraka au thawabu katika dini.!

ROHO ILIUMBWA kama MEMORY CARD. Inabeba na kuhifadhi kila inachokifanya kwa kupitia mwili.!!

Suala la eti MUNGU ANAKUONA ALAFU AMESHIKA KALAMU KUKUANDIKIA KILA KITENDO NI FIKRA NA FALSAFA NA IMANI DUNI SANA.

AU ETI UNA MALAIKA KULIA NA KUSHOTO KUKUANDIKIA MABAYA NA MAZURI NI UDUNI SANA.!!!!

HUYO MUNGU BASI ANAPITWA NA BINADAMU WANAOWEZA KUTENGENEZA TEKNOLOJIA ZA KUJIENDESHA NA KUHIFADHI KUMBUKUMBU BILA KUSIMAMIWA NA BINADAMU. AUTONOMOUS TECHNOLOGY!!!!

Roho ni UKAMILIFU. NI SEHEMU YA MUNGU AU MWALE MKUU MTAKATIFU. ROHO IMEUNGANA NA MUNGU MOJA KWA MOJA N.K!!!

Sasa tukirudi kwenye KARMA.

Tunajua sasa kuwa ni KWA NINI UKIWAZA MABAYA....MABAYA YANAKUTOKEA.

Wanasema kwenye LAW OF ATTRACTION kuna siri kubwa mno.

Kwamba usiwaze negative bali ni positice tu. Hata hiyo negative ikimaanisha ni positive basi ni hatari bado.

Mfano wengi wamewahi kuaibika mbe za watu kwa kuwaza negative yenye maana ya positive.

Mfano mdada anapota kwa watu wengi wakimtazama. Anaanza kuwaza "Sitaki kuanguka mbele za watu na viatu hivi virefu!!" Au sijui nikianguka itakuwaje n.k!

Sasa hapa akili au ROHO inajua kuanguka ni nini....hsijui hiyo NEGETION YA SITAKI... basi UOGA pia huchochea ROHO kukutekelezea unachotaka.

Unashangaa sasa ndo unaanguka Puuuuuuuuu...!!!! Ghafla tu.

Sasa kwenye hali kama hiyo ni vema KUSEMA "AM OKEY" " NIKO POA" N.K

PIA kuna mfano muhimu sana kuhusu maisha.

Wengi tunakaa kuwaza UMASKINI KULIKO UTAJIRI!!!! HIVYO TUNAVUTA UMASKINI ZAIDI!!!!!!!!!

YAANI BADALA YA KUWAZA KUWA "NATAKA UTAJIRI"
..POSITIVITY!

BASI SISI HUWAZA "SIPENDI UMASKINI"..POSOTIVITY ILIYOJAA NEGATIVITY!!!

Kwa kuwa roho inajua UMASKINI NI NINI BASI SWITCH YA UMASKINI INAKUWA "ON" KATIKA FIKRA HIZO N.K!!

TUKIRUDI KWENYE KARMA NA FATE.

Ni kuwa katika mfano wa kuchagua miaka 150 hapo juu ya roho kuidmshi duniani.

Hii roho inaweza kuondoka ikiwa na miaka chini ya hapo mfano 20 n.k kutokana na FATE inayojitengenezea kwa Kutumia FREE WILL POWER...KUPITIA KARMA NA LAW OF ATTRACTION.

HIVYO;kuna dhambi kubwa sana inafanywa na IMANI ZA KILEO.

KUWA KILA KITU ETI NI MIPANGO YA MUNGU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kila kifo eti ni mipango ya Mungu.!!!!!!!!!!!!

Kuna roho zimechagua UJINGA wa kuwa mbali na Mungu...hizi zinakosa direct connection na inakuwa ni THE LOST SOUL SU WANDERER SOUL N.K

INAJIENDEA TU.....IMEJAA GIZA.

HII KIFO NI MALI YAKE.....INAVUTA KIFO BILA KUJUA. ROHO ILIYOKATA TAMAA YA KUENDELEA KUWEPO NA KUTIMIZA LENGO ILOCHAGUA N.K

ROHO YA HIVI ikikutana na kifo inakiita yenyewe!!!!!!

Pia inakuwa na UCHAFU AMBAO HAITAWEZA KUPENYA KATIKA SPHERES ZA UTAKATIFU.

INAWEZA KUONDOKA DUNIANI NA IKOSE PA KWENDA. INAVAA MIILI MINGINE NA KUIENDESHA KUPATA MATAMANIO YAKE.

KWA KIFUPI HIVYO NDIVYO ROHO ZA MAPEPO WACHAFU HUZALIWA!!!!!!

kuna mifano Mingi ila itoshe kwenye INTRO YA KARMA...!!

Imeletwa kwenu nami mtiifu CHILAMBO WA CHILAMBO

🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
 
Back
Top Bottom