Wameru ni wakimbizi wa Kichaga

Ndo ivyo angalau umepata mwanga leo
Karibu ungepatia lakini umebuma kidogo,,Wameru ni sawa walitokana na Wamachame ila ni watu waliokuwa "Displaced" kipindi cha mapigano kati ya Wamachame na Wakibosho (Mashami na Kioso) kama walivyo Wagweno(mapigano kati ya Marangu na Kibosho au Rombo)
 
Na wahaya wana matabaka mengi mhaya wa Muleba lafudhi ya kihaya chake ni tofauti mhaya wa Misenyi
Wahaya ndo hawataki kuitwa Wanyambo kabisa,ukitaka Mhaya akuchukie wewe muite Mnyambo.But Mnyambo akaitwa Mhaya hana noma sijui ni nini?But makabila mengi ukisema unatoka kagera wanajua wote wahaya kumbe ndani kuna moto unafukuta miaka mingi Wanyambo si Wahaya si Wanyambo

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Nyie sasa story zenu ni kama za wahutu na Watusi... Wote wanaongea lugha moja kisa muonekano, kisa elimu ndio wakaanza kukanyagana...

Nisawa na haya yanayo endelea ya wachaga wa rombo, wasiha, kibosho, marangu, machame nk...

Zile jamii za watusi, wahutu, ambazo zina patikana Rwanda na Burundi na lugha ni zile zile Leo hawataki kuonekana ni wamoja kisa ni upumbavu wao wa kimatabaka...

Wachaga na wenyewe wanaenda humo humo
Asiye na historia ni mtumwa na mpumbavu. Wahutu na watusi wote ni waafrika ila asili yao siyo moja watutsi wametokea pembe ya afrika na waliwakuta wahutu na wabatwa. Sawa na wamarekani wazungu na weusi wote wanaongea lugha moja ila weusi walikuja marekani na kuwakuta weupe na wahindi wekundu. Na wazungu walikuja toka ulaya, hiyo ndiyo historia, a nation without knowledge of the past is a like a tree without roots
 
Karibu ungepatia lakini umebuma kidogo,,Wameru ni sawa walitokana na Wamachame ila ni watu waliokuwa "Displaced" kipindi cha mapigano kati ya Wamachame na Wakibosho (Mashami na Kioso) kama walivyo Wagweno(mapigano kati ya Marangu na Kibosho au Rombo)
Asante kwa mjazio👏👏
 
Wahaya ndo hawataki kuitwa Wanyambo kabisa,ukitaka Mhaya akuchukie wewe muite Mnyambo.But Mnyambo akaitwa Mhaya hana noma sijui ni nini?But makabila mengi ukisema unatoka kagera wanajua wote wahaya kumbe ndani kuna moto unafukuta miaka mingi Wanyambo si Wahaya si Wanyambo

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Hata uchagani ipo hiyo. Wauru hasa wanaotoka Kishumundu wanaonekana duni sana. Ndio maana ukimkuta mchaga yeyote akimwita mkishumundu hata kama ni kweli atakataa kabisa. Ntaielezea kwa kirefu siku zijazo
 
Asiye na historia ni mtumwa na mpumbavu. Wahutu na watusi wote ni waafrika ila asili yao siyo moja watutsi wametokea pembe ya afrika na waliwakuta wahutu na wabatwa. Sawa na wamarekani wazungu na weusi wote wanaongea lugha moja ila weusi walikuja marekani na kuwakuta weupe na wahindi wekundu. Na wazungu walikuja toka ulaya, hiyo ndiyo historia, a nation without knowledge of the past is a like a tree without roots
kiukweli waafrika hatujui historia zetu

.sijui sababu babu zetu hawakujua kuandika au mkoloni alifanya juhudi kuzizima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameru n Wacha Mungu sana Alafu wana sheria Kali km Wamasai uwez kuta kijana wa kimeru Analewa lewa ovyo ovyo km vijana wa kichaga. Alafu dizain km wana ushirikiano sanaa Arusi za kimeru Watu wanatoa zawad hadi ratiba ya Shugul inaribika.
 
Back
Top Bottom