Unaagiza kuku mzima lakini huletewi firigisi: kwa nini

Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
10,335
17,852
Ni wapi hapa Tanzania kwenye baa au hoteli ambayo ukiagiza kuku mzima utaletewa pamoja na firigisi. Kwani firigisi siyo sehemu ya kuku?
 
Duh inaelekea una usongo sana na firigisi mpaka umeileta hapa kujadilwa? Ndio maana hatuendelei...priorities!!!! Ndugu kuna supermarkets unaweza kupata firigisi zinauzwa separately...nunua nyingi, ule hadi hamu ikutoke na kisha tuendelee kujenga taifa
 
Jamani za MKWEZI zake MBILI,
Vyandani vyote pamoja na Kichwa na MIguu ni vya MCHINJAJI ndio utamaduni wetu.
Uiswe kama mchaga huwa anadai hadi sauti ya mbuzi.
 
Duh inaelekea una usongo sana na firigisi mpaka umeileta hapa kujadilwa? Ndio maana hatuendelei...priorities!!!! Ndugu kuna supermarkets unaweza kupata firigisi zinauzwa separately...nunua nyingi, ule hadi hamu ikutoke na kisha tuendelee kujenga taifa
Mimi nimeagiza kuku mzima nataka nimpate nafirigisi zake! Kama ni utamaduni Seniorita niamnie lakini isiwe tu ni Tania wauzaji wanatuibia
 
Hujui kwamba firigisi ni sehemu ya utumbo? Mbona hulalamiki usipoletewa utumbo wa kuku na miguu?
 
Ingia hotelini na kuku wako aliye hai kisha waambie wakutengenezee. Ndipo utaweza kuletewa kila kiungo hata pale karibu na pa kujisaidia hawatopatoa.
 
Back
Top Bottom