Na ndo kinachofanyika, other wise uende NairobiWanakubambikia mkuu ili mtoto asikose matunzo
Mambo haya mtu hawezi kukuelewa mpaka yamkutewanachukulia simple kwa vile hayajawakuta hawa mimi nakwambia jamaa yangu kawa chizi nusu miaka yote anajua mwanaye mtoto mkubwa kabisa ndo anakuja kujua kuwa sio wake weee acha kabisa jamaa anacholaumu kwa nn mwanamke wake hakumwambia mapema??
ukoo wote hamuwezi fanana aisee wachina tu ndo wanaweza hii kituJiulize kwenye ukoo wenu wote mnafanana sura??? Muunganiko wa sura mbili tofauti unaweza kutoa sura nyingine tofauti
Tunaweza kuridhi tabia au maumbile kutoka kwa wazazi wetu hadi kizazi Cha sita nyuma
Pamoja na kuwa nilikuwa na wazazi lakini malezi yangu yamepita kwenye mikono ya watu wengi.....lakini aliyekuwa anakulea si alikuwa anajua anamlea nani??
Mimi nina asilimia 100 kuwa yule ni dingi langu tumefanana sanaa hadi kimatendo pia kifupi ni copy yake
Baba ni mlezi na siyo mzazi, kwani mzazi kisheria na kibiolojia ni mama, Sasa mwanaume unamzaa nani?Hi everyone,
Wababa wengi hulea watoto ambao sio damu yao, kuna kamsemo kuwa kitanda hakizai haramu lakini pia anayejua baba wa mtoto ni mama.
Tukiachana na mambo ya DNA ambayo ni mchakato na gharama, baba kama baba hutumia vigezo gani kujua kuwa unayelea ni damu yako halali maana kwenye hili swala wanawake wanatupigaga sana, unajua damu yako kumbe dah sio kabisa.
Una uhakika huyo anayekuita baba ni mwanao kweli na kama ni kweli huo ukweli ulionao una asilimia ngapi?
Mzazi ni mwanamke ambaye hujifungua mtoto l, baba ni mlezi tuok nini tofauti ya mzazi na mlezi
Mambo ya kisheria baba ni mlezi na siyo mzazi kwani baba anapata uzazi wa wapi Ili atoe mtoto?kama ndiyo hivyo basi wasingeweka DNA test