Una uhakika wa asilimia ngapi kuwa huyo anayekuita baba ni mwanao wa kumzaa?

Aliyezaliwa au kuletwa toka njee na unamkuza ndani chini ya dari au nyumba yako mpende na muhudumie, hata kama sio damu yako.
Mambo ya DNA sijui damu yangu ni ushamba.
Mbona mnaleta watoto wa njee na sisi tunawalea bila ubaguzi?
 
shida sio kujua shida ni kwa nini udanganye??watu wanaadopt watoto na wanalea bila shida tena kama mtoto wake.
umeshasema wa nje hapo hujafichwa kitu unajua kabisa kuwa ni nje
 
tena balaa linakuja kama mama akajichanganya akamwambia kuwa huyu sio baba yako utamzuia akiwa mdogo akiwa mkubwa atataka amjue baba yake atamtafuta hata mwenyewe
 
Jamani saaa hata pua hamafanani yako kubwa ya mtoto ni ndogo na imepinda, mikono pia, masikio ndiyo usiseme yako makubwa yake marefu halafu bado usijue kuwa umepigwa, kulea mtoto wa mtu sio kazi ndogo labda asikufiche muweke hayo sawa mapema ila ya kustukizana mtoto amekua ni hatari kwa afya
 
Hi everyone,

Wababa wengi hulea watoto ambao sio damu yao, kuna kamsemo kuwa kitanda hakizai haramu lakini pia anayejua baba wa mtoto ni mama.

Tukiachana na mambo ya DNA ambayo ni mchakato na gharama, baba kama baba hutumia vigezo gani kujua kuwa unayelea ni damu yako halali maana kwenye hili swala wanawake wanatupigaga sana, unajua damu yako kumbe dah sio kabisa.

Una uhakika huyo anayekuita baba ni mwanao kweli na kama ni kweli huo ukweli ulionao una asilimia ngapi?
tafuta ada kamlipie huyo mtoto, tarehe 16 shule zinafunguliwa. acha visingizio. eboo
 
shida sio kujua shida ni kwa nini udanganye??watu wanaadopt watoto na wanalea bila shida tena kama mtoto wake.
umeshasema wa nje hapo hujafichwa kitu unajua kabisa kuwa ni nje
What if ukihangaika kupima DNA na ukakuta wa kwako
Kila siku tokea utotoni namwambia baba yako alikukana mpaka DNA ikanisaidia
 
Jamani saaa hata pua hamafanani yako kubwa ya mtoto ina ndogo na imepinda, mikono pia, masikio ndiyo usiseme yako makubwa yake marefu halafu bado usijue kuwa umepigwa, kulea mtoto wa mtu sio kazi ndogo labda asikufiche muweke sawa mapema ila ya kustukizana mtoto amekua ni hatari kwa afya
wanachukulia simple kwa vile hayajawakuta hawa mimi nakwambia jamaa yangu kawa chizi nusu miaka yote anajua mwanaye mtoto mkubwa kabisa ndo anakuja kujua kuwa sio wake weee acha kabisa jamaa anacholaumu kwa nn mwanamke wake hakumwambia mapema??
 
Hamna uongo namwambia ukweli daily baba yako alikushuku mpaka DNA ilipoproove.
Je hapo nimemwambia uongo?
unajua ishu inakuwa wapi kama tunavyojua kuwa kitu chochote kama haujui wala hainaga shida kabisa mtoto utalea vzr tu bila shida kabisa.
Ishu inakuja na balaa linakuja baadaye pale unapojua kuwa sio wako sijui umeipata point yangu
 
Huyo baba yako may be sio wa babu yako ila kakausha familia inasonga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom