Una uhakika wa asilimia ngapi kuwa huyo anayekuita baba ni mwanao wa kumzaa?

Hi everyone,

Wababa wengi hulea watoto ambao sio damu yao, kuna kamsemo kuwa kitanda hakizai haramu lakini pia anayejua baba wa mtoto ni mama.

Tukiachana na mambo ya DNA ambayo ni mchakato na gharama, baba kama baba hutumia vigezo gani kujua kuwa unayelea ni damu yako halali maana kwenye hili swala wanawake wanatupigaga sana, unajua damu yako kumbe dah sio kabisa.

Una uhakika huyo anayekuita baba ni mwanao kweli na kama ni kweli huo ukweli ulionao una asilimia ngapi?
Ukitaka kujua kwamba Mtoto ni wako au la, jaribu kumpiga mbele ya mama yake utaona reaction itakavyokuwa...,.......!?
 
As long as sio mzungu ni ngozi nyeusi kama mimi hakuna shida,
Ndio mana tukawa watanzania
 
Tatizo vitabu vya wazungu vinawaua kisaikologia
kuna jamaa ameniambia kuwa baba ni mlezi tu wa mtoto yan sijamuelewa kabisa kwa maelezo yake mama ndiye mzazi kwa kuwa tu yeye ndiye amezaa halafu baba anakuwa mlez mm haijaniingia akilin kabisa
 
Sasa wewe mtu anambeba mtoto tumboni kati ya miez 9 au na zaidi alafu wewe unasema mtoto wako kwa shughuli ya masaa kadhaa tu
 
bila ya hiyo shughuli huyo mtoto angepatikana kweli
 
Kumbe kundi la damu nalo linaweza kukupa mwanga mfano kama mama ni blood group O baba blood group A mtoto akawa blood group B au AB aisee jua umepigwa dadeki
IMG_20220114_082607.jpg
 
bila ya hiyo shughuli huyo mtoto angepatikana kweli

Siku hizi kuna baadh ya sabuni zinatia ujauzito simple tu.. kidada kinasubir jamaa katoka kuoga kinaenda kuazima sabuni kinaogea kwa kujisugulia.. kikirudia mara mbili mara tatu majibu anayapata
 
hata kama hivyo hapo mwanaume amehusika tayar haijalishi zitaingia kwa njia gan mwilin mwake bila ya mwanaume kutoa sperm zake zikakutana na yai la mwanamke hakuna mimba
 
Wewe una hakika ya asilimia ngapi kuwa huyo uliyemuita baba maisha yako yote ni baba yako kweli?

Kuna baadhi ya mambo unapaswa kutoyahoji sana kama hayakupi tatizo. Ni busara kutotengeza kitu ambacho hakijaharibika maana unaweza kuta unakiharibu kabisa.

Jiulize umeenda kupima DNA na majibu yakatoka mtoto ni wako, unahisi atakutazama vipi ukubwani akijua fika ulikuwa na shaka juu ya uhalali wa kuwa ni mtoto wako.

Ikiwa hujasikia tetesi zozote kuwa umebambikiwa, hujaambiwa na mwenzi wako kila mkihitilafiana kuwa mtoto si wako basi ni bora kuchukulia ni wako na umpende kidhati.

Shaka inahalalishwa tu pale mtoto anapokuwa na nywele ya singa ilhali kwenu wote vipilipili, hapo anza kuchunguza.
Kisayansi hata huyo wa nywele za singa aweza kuwa mwanao wa damu.

Hii niliwahi shuhudia wanandoa kuingia kwenye sintofahamu baada ya mke kuzaa mzungu, tena blonde!

Kumbe babu wa baba yake na mke alikuwa ni mzungu 'pyua'.
Kuja kumpima ni wake!
 
Hujui unalozungumza ww subiri yakukute kwanza
 
Kisayansi hata huyo wa nywele za singa aweza kuwa mwanao wa damu.

Hii niliwahi shuhudia wanandoa kuingia kwenye sintofahamu baada ya mke kuzaa mzungu, tena blonde!

Kumbe babu wa baba yake na mke alikuwa ni mzungu 'pyua'.
Kuja kumpima ni wake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom