Una tatizo na kujaza fomu za mikopo?HESLIB | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Una tatizo na kujaza fomu za mikopo?HESLIB

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by John W. Mlacha, Jun 11, 2011.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Jun 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Kwa wale wadogo zangu ambao hawajajaza fomu za mikopo either saver inawasumbua au hawawewezi unaweza kupata msaada wa moja kwa moja kutoka kwangu. nakujazia then nakutumia fomu zako kwe e-mail unaenda kuzi print.sio utapeli ni kusaidiana . JF ni kila kitu. so if you wish just PM me then i will send you my e-mail.all the best guys.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Watakuaminije?
   
Loading...