Una tatizo la panya nyumbani kwako ,suluhisho ni NYOKA tu ndani ya wiki panya wote watakimbia

Kule kwetu usumbwani tunawachezea tu hata hao wenye sumu tena tunawatapisha hiyo sumu na kuchanjia chale za ujasiri.
 
Jamaa akikua atahitaji msosi mkubwa zaidi humo ndani
7475fabc2a12ff4dd254a3557ff09704.jpg
kisha anakula pozi
6f642b1c1ad62f83d966e2b0570e9084.jpg
 
...
3ee3c8730ea25ed8976bd27cf1f99576.jpg


Baadhi ya nyumba waliofuga nyoka hao.Watoto pia hupata nafasi ya kucheza na kufurahi na nyoka hao
Elimu ila unesahau kwamba jamii nyingi za Kitanzania (vijijini na mijini) hufuga kuku, hakika vifaranga havitasalimika
 
najaribu kuvuta picha tu umeenda ugenini mmekaa siting room ghafla linakatiza joka miguuni fyuuuuu, mwenyeji anakwambia hamna shida anawinda panya huyooo, pumbafu nikitoka nje narudi na mafuta ya taa
 
Mkuu mtaalamu wa nyoka je ile dhana ya kwamba nyoka anakula unga ni kweli,
 
Sio bure kuna kalaana kanatunyemelea! Mada za nyoka zinaongezeka sana, mmoja alikuja na kilimo cha nyoka na wewe unakuja na kuzuia panya kwa kutumia nyoka bila kutuambia paka wameenda wapi. Kwa mujibu wa kitabu kitakatifu, nyoka ni adui wa binadamu, wewe unaleta ushosti na nyoka.
 
Back
Top Bottom