Una tatizo la panya nyumbani kwako? Dawa hii hapa

Hii mada imenikuta siku haswaa, leo hii siwezi kulala chumbani kwa sababu panya kafia huko na kuna harufu sana toka jioni, nafika toka kazini mke wangu ananiambia kuna harufu ya panya lakini kaangalia hajaona chochote imenibidi kulala sebuleni kwenye viti na familia ntafanyaje mie malafyale... But ntajaribu hiyo
Hahahah..! Waafrica bwana tunapenda mteremko kweli haswa..!
 
Hujawahi pata mziki wa panya wewe, hapa penyewe amekatiza mbele yangu....nilitamani nimbonde na simu sema nikaacha...
Nadhani hukuelewa comment yangu. Nilikuwa namaanisha kuwa panya ni wasumbufu sana hadi Great Thinkers wanajadili usumbufu wao. Nikawapa shikamoo kuonyesha kwamba nawaheshimu Na kuwaogopa.
Kama hujaelewa pia usisite kutoa dukuduku lako nami nitafafanua
 
Kama kwako unatatizo la panya basi wala usihangaike kwenda kununua ma sumu ambayo mwisho wake panya anafia pasipojulikana na harufu ya panya aliyekufa kujaa nyumba nzima, jaribu kutengeneza mitego hii rahisi sana ambayo utawadaka wakutosha tu, Jaribu alafu uje unipe matokeo, mi nshadaka kama 8 usiku wa jana,





HIZOO ZOTE ZA NINI

NUNUA INDOACID PHARMACY WEKA NA SAMAKI NUNUA ZA BUKU WANAKAUKA HATA UONJI MFUPA..WASIPOISHA Nbo X NIJE WALA WATAKUWA PANYAMLAWATUU
 


Ikiwa hii dawa inauwa panya kwa muda mfupi,vipi kuhusu madhara kwa binadamu?
Ukizingatia kwamba hizi dawa asilimia kubwa hufanyiwa majaribio kwanza panya ili kuona ufanisi wake baadae huletwa kwetu.
 
Away
Hukuonaaanhilooswaa lalingine
 

Attachments

  • Screenshot_20171208-074423.png
    Screenshot_20171208-074423.png
    28.3 KB · Views: 182
  • Screenshot_20171208-074415.png
    Screenshot_20171208-074415.png
    35 KB · Views: 175
Kuna hiyo indocin, pia zipo Phentoyne na phenobabytone (sina hakika kama majina nimeandika kwa ufanisi) ni hatari sana kuua panya.
Ila ningependa kufahamu, kuku wakila samaki au dagaa wenye hizo dawa hawawezi kudhurika? Msaada tafadhali
 
Nashukuru kwa hiyo information ya indocid nitaifanyia kazi.manaake mimi nilitumia trick ya kurekodi sauti za paka kwenye simu yangu waziogopa siku ya kwanza baadae wakagundua kuwa siyo paka kumbe paka akitoa sauti inakuwa kwenye frequency fulani ambazo panya wanazifahamu tofauti na zile ya kurekodiwa.
ahahaaaaaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom