Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je unaijua wozur???Karibuni
asante,,,hv app ya JF wanapataje faida mana sionagi ads humuKaribuni
Mkuu kwema? Nataha huduma ya backend na dashboard kwenye project yangu..
inawezekana depend na programming language iliyotumika kwenye backendMkuu kwema? Nataha huduma ya backend na dashboard kwenye project yangu..
Je utaalam huo unapatikana? Na ni bei gani?
nawezaje kununua app kwenye code canyone na nikishainunua ili nii customize natakiwa nifanyaje ?Karibuni kwa maswali au ushauri
Inategemea na Tech stack(teknolojia) iliyotumika ku develop hio appnawezaje kununua app kwenye code canyone na nikishainunua ili nii customize natakiwa nifanyaje ?