Una swali lolote kuhusu online business, website, mobile apps, technologies zinazotumika, na ushauri kabla hujaamua kuwa na website au app ya biashara

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
830
1,000
1-L5QyrMNalM3yhtgdgBcvkQ.png
 

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
830
1,000
Mkuu kwema? Nataha huduma ya backend na dashboard kwenye project yangu..
Je utaalam huo unapatikana? Na ni bei gani?
inawezekana depend na programming language iliyotumika kwenye backend
kama ni PHP,,Javascript, au Python inawezekana
Price inategemea na features unazotaka ziwe implemented
Tuwasiliane mkuu 0748333586
 

Kuchwizzy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
830
1,000
nawezaje kununua app kwenye code canyone na nikishainunua ili nii customize natakiwa nifanyaje ?
Inategemea na Tech stack(teknolojia) iliyotumika ku develop hio app
Language au Framework ipi imetumika
then kama una fahamu iyo stack (kama wewe ni developer) unaweza ku customize otherwise tafuta developer au contact na original developer(seller) kama ana offer hio service

teck stack ya script ya codecanyon huwa inawekwa pale chini kwenye tags
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom