Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

Status
Not open for further replies.
Kwanini wachawi wanauwezo wakuingia ndani kwanguvu zagiza lakini umo ndani Hawaibi pesa haliyakua wanaishi maisha yakimackini
 
Swali hili limeshaulizwa sana na kujibiwa kwa kina sana hivyo pitia page zilizopita.
 
Ikitoea umeenda kwa mganga ukachanjwa dawa mfano ya zindiko na kutoa mikosi, usiku wake ukaota unakula samaki baada ya kumaliza unatoa miba ya samaki ktk meno hii imekaaje mtu mzito
Maana yake ni kuwa tiba zimekwenda vizuri na uadui umetoka.
 
Sawa, I am Sold! Nimeteseka sana maishani hata sasa siogopi kifo tena, nipo tayari kusonga mbele sasa kwa njia yoyote. Siku kumi na moja kutoka leo, nitajua hatima yangu...adui zangu pia watajua hatima yao. Matokeo yaweza kuwa mawili tu.
 
Kwasisi ambao hatujaona jibu tusaidie
Niliposema limeshajibiwa sana ni kwa kuwa niliandika kwa kituo sana hivyo huko ungepata kuelewa sana, ila ngoja nikujibu japo kwa kifupi.

Uchawi ni kama jambo jingine lolote kwani kuna miiko, sheria na taratibu zake na ukikiuka unaweza kupata madhara au hata kupunguza nguvu ya jambo husika, wachawi wanapokuwa katika shughuli za kichawi hawaruhusiwi kujiingiza katika tamaa ya dunia ila kutimiza yale waliyoagizwa na mkuu wao.

Lakini pamoja na hayo bado wanatumia njia nyingi za wizi wa pesa hata wasipokuwa eneo husika au wasipokuja kichawi.......miongoni mwa wizi wa kichawi ni Chuma ulete (hii mtu hukaa nyumbani kwake na kunuia katika vyombo vyake vya uchawi na kujikuta unafanya mauzo katika biashara yako ila pesa huioni) na pia kuna wizi unaoitwa Kopera, hapa mchawi anaweza kuja kununua kitu na akiondoka pesa zote huamia kwake.

Katika ushirikina wapo wachawi wakubwa na hata watu wa kawaida walioingia maagano na kupata pesa za majini, wapo wanaotumia madawa kuiba katika taasisi za fedha, wapo wanaotumia madawa kumfanya mtu aende akatoe mwenyewe pesa bank na kuwakabidhi na wakiondoka ndipo mtu fahamu humrudia, wapo wanaoamisha mazao ya wenzao mashambani na kuhamishia kwao nk.

Hivyo yako mengi yanayofanyika ya kuiba ndani ya uchawi na wakati mwengine wanapopata pesa yote hununua uchawi mwingine na kujikuta watupu kabisa, kama unavyojua pesa ya dhulma haidumu.

Hivyo umasikini wa wachawi haimaanishi hawaibi ila tu hawapo kwa ajili ya wizi na pia inategemea mchawi huyo kaingia/kaingizwa katika uchawi kwa lengo gani.

Hata hivyo sehemu nyingi zinazohusu mambo ya pesa haziingiliki kirahisi kama unavyodhani.
 
Sawa, I am Sold! Nimeteseka sana maishani hata sasa siogopi kifo tena, nipo tayari kusonga mbele sasa kwa njia yoyote. Siku kumi na moja kutoka leo, nitajua hatima yangu...adui zangu pia watajua hatima yao. Matokeo yaweza kuwa mawili tu.
Pole sana mkuu
 
Mkuu ni lipi zito lililokukuta mpaka ukakata tamaa hivi? usikate tamaa maana kufanya hivyo ni ushindi kwa wabaya wako.
Simama imara waonyeshe kuwa inawezekana pamoja na dhamira zao mbaya bado wao sio Mungu, washukuru wanaokutendea ubaya maana wao wanakupa hasira ya kusonga mbele na kufanikiwa.
Kumbuka ukizungukwa na watu wanaokusifu huwezi kuona changamoto na sehemu ulizokosea......simama imara na mwombe Mungu atasikia kilio chako.
 
Mkuu jiweke kushnda hyo vita wala usikate tamaa ya kushndwa. Ukishndwa ndio furaha ya wabaya wako. Jinsi ya kumuadhibu mbaya wako ni kusonga mbele na kuwa na furaha. Yy mwnyw atachanganyikiwa na kushangaa. Niliwahi kufanyiwa mbaya ili nipoteze muelekeo, nikaugua sana na kulazwa hosptali na muda huo nilikuwa nmebakiza km mwezi mmoja nifanye mtihani wa taifa. Ile zimebaki wiki mbili nikapata nafuu pamoja na kwmb nilikuwa naonekana ni wa kufa tu. Nilipotoka hosptali nikafanya paper na nikafaulu. Sikujua km nilkuwa nmefanyiwa kitu mbaya. Nikaja kupata habari kwmb watu wanajiulza kwann nilpona na kufauli ile mitihani wakati walikuwa wanataka nisifanye na ule uwe mwsho wangu. Nikawa nmewashnda hvyo. Japo bado napitia magumu ila hilo jarbu lao moja nililishnda.
Nina jarbu la pili naamn nalo nitalishnda Mungu ni mkubwa. Tupo wengi ndg yangu tunaosumbuliwa na walimwengu. Tunapitia mengi. Kukata tamaa ni ushndi kwao.

Usikate tamaa, Mungu atakupigania. Yy ndie muumba wa kila kitu!!
 
Mkuu
Je majini yanakoseana? na kama jibu ndio, wanachukuliana hatua gani?
Naam majini nao hukoseana kama ilivyo kwa viumbe wengine na inapotokea hali hiyo kunakuwa na hatua nyingi za kuchukua kama vile kuombana radhi, kugombana, kupeleka malalamiko kwa viongozi au baraza la wazee wao.......na pale busara isipotenda kazi basi mapambano hutawala.
 
Mkuu jiweke kushnda hyo vita wala usikate tamaa ya kushndwa. Ukishndwa ndio furaha ya wabaya wako. Jinsi ya kumuadhibu mbaya wako ni kusonga mbele na kuwa na furaha. Yy mwnyw atachanganyikiwa na kushangaa. Niliwahi kufanyiwa mbaya ili nipoteze muelekeo, nikaugua sana na kulazwa hosptali na muda huo nilikuwa nmebakiza km mwezi mmoja nifanye mtihani wa taifa. Ile zimebaki wiki mbili nikapata nafuu pamoja na kwmb nilikuwa naonekana ni wa kufa tu. Nilipotoka hosptali nikafanya paper na nikafaulu. Sikujua km nilkuwa nmefanyiwa kitu mbaya. Nikaja kupata habari kwmb watu wanajiulza kwann nilpona na kufauli ile mitihani wakati walikuwa wanataka nisifanye na ule uwe mwsho wangu. Nikawa nmewashnda hvyo. Japo bado napitia magumu ila hilo jarbu lao moja nililishnda.
Nina jarbu la pili naamn nalo nitalishnda Mungu ni mkubwa. Tupo wengi ndg yangu tunaosumbuliwa na walimwengu. Tunapitia mengi. Kukata tamaa ni ushndi kwao.

Usikate tamaa, Mungu atakupigania. Yy ndie muumba wa kila kitu!!
Naam kwenye dunia hupaswi kukata tamaa katika maisha mpaka pumzi yako ya mwisho.
Mkuu ni lipi zito lililokukuta mpaka ukakata tamaa hivi? usikate tamaa maana kufanya hivyo ni ushindi kwa wabaya wako.
Simama imara waonyeshe kuwa inawezekana pamoja na dhamira zao mbaya bado wao sio Mungu, washukuru wanaokutendea ubaya maana wao wanakupa hasira ya kusonga mbele na kufanikiwa.
Kumbuka ukizungukwa na watu wanaokusifu huwezi kuona changamoto na sehemu ulizokosea......simama imara na mwombe Mungu atasikia kilio chako.
 
aisee mtu mzito nimeota ndoto ya ajabu nimeota nipo shule secondary tukafanya mtihani eti nikawa wa kwanza nikapewa mzawadi kibao maana yake nini?
 
Niliposema limeshajibiwa sana ni kwa kuwa niliandika kwa kituo sana hivyo huko ungepata kuelewa sana, ila ngoja nikujibu japo kwa kifupi.

Uchawi ni kama jambo jingine lolote kwani kuna miiko, sheria na taratibu zake na ukikiuka unaweza kupata madhara au hata kupunguza nguvu ya jambo husika, wachawi wanapokuwa katika shughuli za kichawi hawaruhusiwi kujiingiza katika tamaa ya dunia ila kutimiza yale waliyoagizwa na mkuu wao.

Lakini pamoja na hayo bado wanatumia njia nyingi za wizi wa pesa hata wasipokuwa eneo husika au wasipokuja kichawi.......miongoni mwa wizi wa kichawi ni Chuma ulete (hii mtu hukaa nyumbani kwake na kunuia katika vyombo vyake vya uchawi na kujikuta unafanya mauzo katika biashara yako ila pesa huioni) na pia kuna wizi unaoitwa Kopera, hapa mchawi anaweza kuja kununua kitu na akiondoka pesa zote huamia kwake.

Katika ushirikina wapo wachawi wakubwa na hata watu wa kawaida walioingia maagano na kupata pesa za majini, wapo wanaotumia madawa kuiba katika taasisi za fedha, wapo wanaotumia madawa kumfanya mtu aende akatoe mwenyewe pesa bank na kuwakabidhi na wakiondoka ndipo mtu fahamu humrudia, wapo wanaoamisha mazao ya wenzao mashambani na kuhamishia kwao nk.

Hivyo yako mengi yanayofanyika ya kuiba ndani ya uchawi na wakati mwengine wanapopata pesa yote hununua uchawi mwingine na kujikuta watupu kabisa, kama unavyojua pesa ya dhulma haidumu.

Hivyo umasikini wa wachawi haimaanishi hawaibi ila tu hawapo kwa ajili ya wizi na pia inategemea mchawi huyo kaingia/kaingizwa katika uchawi kwa lengo gani.

Hata hivyo sehemu nyingi zinazohusu mambo ya pesa haziingiliki kirahisi kama unavyodhani.
kwahiyo kwenye hizo taasisi za fedha kama mabenki napo wameeka mazindiko kwa ajili ya kulinda hizo pesa au?
 
Vitu vingine unapewa mwanga ili ujiongeze kutokana na fahamu zako, umeshawahi kusikia huko wakilalamika kopera au chuma ulete kama masokoni? na pia fikiria je wewe unapokinga nyumba yako unatangaza? haya mambo hayapo wazi na hayafanyiki wazi lakini kule ni kuzito japo pia wapo wanaofanya mambo.
dah!! kumbe wazee wa benki ni mwendo wa ndumba tuu kulinda mpunga,,ss na sie tunaoweka hyo mihela huko ndumbani hatupigw hayo makopera kwel mana kuna watu wanafilisikaga kwa ajili ya kukopa huko

na anayeenda kuweka hizi kinga kwa mganga ni yule mwenye benki au ht meneja aliyeajiriwa anaeza tumwa fanya kazi hyo?

na vp mabenki ya taasisi za serikali na taasisi zingine za dini labda nazo wanaweka hizi kitu???
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom