Wewe Jamaa unakutana na mauzauza kila siku.. AU wewe ndo tishio kwao?Kuna mfanyakazi mwenzangu jana nilim'bamba akimwaga dawa nyeusi katika kiti ninachotumia mimi.....hakuwa na maelezo ya kutosha zaidi ya kuniomba nisiwaeleze wakuu.
Inawezekana, kwa mfano hutaki kufanya kazi yoyote halafu unalalamika maisha magumu, huko si kujiroga mwenyewe..hivi mtu anaweza kujiroga mwenyewe?
hahahahahaInawezekana, kwa mfano hutaki kufanya kazi yoyote halafu unalalamika maisha magumu, huko si kujiroga mwenyewe..
Kipo kitu cha ziada hapo.....nitafute pembeni tuulizane mawili matatu.Sawa hapo nimeelewa mkulu lakini naswali nauliza nimekuwa naota mara kwa mara bado nipo maeneo ya nyumbani na kuwaona sana wazaz wangu hasa mama wakat saiv npo mbal na
wao maana yake ni ipi
Kuna popote ulipoambiwa walau utoe senti yako katika Uzi huu? ficha upumbavu wako basi tuache tunaojua faida yake.Utapeli mtupu
Mkuu wapumbavu ndiyo kipimo cha wenye akili hivyo asikusumbue kichwa, katika kila jambo duniani kuna pande mbili.Kuna popote ulipoambiwa walau utoe senti yako katika Uzi huu? ficha upumbavu wako basi tuache tunaojua faida yake.
Sawa sawa Mkuu jichawi, mtoto wa dada yangu aliwahi kuugua maradhi ya ajabu sana na tukamaliza pesa nyingi sana, akipima mara unaonekana moyo mkubwa, mara siku nyingine huonekana una tundu, mara mirija imeachia, mara umejaa maji yaani mpaka wauguzi hawakujua cha kufanya......lakini kuna mmoja akatutonya kuwa hangaikeni, na kweli tukahangaika akaja akatolewa kucha kucha, sindano na vitu vingine chini ya ziwa la kushoto na hadi sasa ni mzima.Yapo sana maradhi ya kishirikina na haya huwa ni mabaya zaidi maana kule tunapotumaini hayaonekani kwenye vipimo hali ya kuwa mtu anaumwa sana! Unaweza kupitia tiba mbali mbali ukapata nafuu na baadae yakarudi tena, wengi hufanyiwa uchawi au hata kutupiwa majini.....Mtu mzito ataongezea nyama.
Je, baada ya hapo mkakimbia ile sehemu mliyohisi ipo salama au iliishia pale pale kwanye kuwaza?Mtu mzito naomba unifafanulie ndoto hii! Nimeota kuna radi kubwa inapiga na kusambaratisha kila kinachokutana nacho...na nikaona watu wanakimbia kutoka maeneo radi inapiga kuja tunapoishi sisi ambapo radi haijafika ila ndipo inapoelekea, na sisi tukawa tunapanga kukimbilia sehemu moja ambayo ni mlimani tukiamini tutakuwa salama! Tulikuwa tunapangakukimbia hapo nikiwa na rafiki yangu (japo katika mazingira halisi simtambui yaani sikumjua sura) Ufafanuzi kaka...
Mkuu Jichawi umekwenda vema kabisa inajitosheleza kabisa.Yapo sana maradhi ya kishirikina na haya huwa ni mabaya zaidi maana kule tunapotumaini hayaonekani kwenye vipimo hali ya kuwa mtu anaumwa sana! Unaweza kupitia tiba mbali mbali ukapata nafuu na baadae yakarudi tena, wengi hufanyiwa uchawi au hata kutupiwa majini.....Mtu mzito ataongezea nyama.
Haya hung'amua wachache sana ila wengi hupotea.Sawa sawa Mkuu jichawi, mtoto wa dada yangu aliwahi kuugua maradhi ya ajabu sana na tukamaliza pesa nyingi sana, akipima mara unaonekana moyo mkubwa, mara siku nyingine huonekana una tundu, mara mirija imeachia, mara umejaa maji yaani mpaka wauguzi hawakujua cha kufanya......lakini kuna mmoja akatutonya kuwa hangaikeni, na kweli tukahangaika akaja akatolewa kucha kucha, sindano na vitu vingine chini ya ziwa la kushoto na hadi sasa ni mzima.
Iliishia palepale mkuu, kwenye kujiandaa kwenda ile sehemu salama...Je, baada ya hapo mkakimbia ile sehemu mliyohisi ipo salama au iliishia pale pale kwanye kuwaza?