UNA MTAZAMO UPI JUU YA MTU ANAEVAA MIWANI YA MACHO??

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Jun 25, 2019
2,732
2,477
Mimi ndimi.

Aseee Mimi nikiona mtu, mwanamke au mwanaume kavaa miwani ile ndogo ya mtu mwenye matatizo ya macho halafu ndio awe mwembamba, naona kama ana udhaifu Fulani hivi, yani naona kama hana afya naweza hata nikamkata Kofi akaaga dunia aseee!

Wewe unamtazamo gani??

Wengine eti wakiona mtu kavaa MIWANI ya macho wanamuona kama ana akili sana au msomi.

67637850_135765607661938_4023005299288330034_n.jpeg
 
Ngoja tu nikuambie. Mtazamo wako siyo sahihi. Binafsi ninavaa miwani tokea nipo shule ya msingi. Ila sipo dhaifu. Nipo poa na hauwezi kunipiga kofi.
 
Aisee mi niko tofauti kidogo. Nikiona mwanamke kavaa miwani nashawishika nae sana
 
Mimi ndimi.

Aseee Mimi nikiona mtu, mwanamke au mwanaume kavaa miwani ile ndogo ya mtu mwenye matatizo ya macho halafu ndio awe mwembamba, naona kama ana udhaifu Fulani hivi, yani naona kama hana afya naweza hata nikamkata Kofi akaaga dunia aseee!

Wewe unamtazamo gani??

Wengine eti wakiona mtu kavaa MIWANI ya macho wanamuona kama ana akili sana au msomi.

View attachment 1181198
Kumbe... Afazali mimi siko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom