Una mawazo/maoni yapi ambayo si ya kawaida(unpopular opinion) kwenye jamii?

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,743
4,272
Kuna maoni fulani unakuwa nayo ambayo ni binafsi lakini ukiyasema mbele za watu kila mtu anakushangaa.

Yani hayo maoni yako 99% ya watu ambao unawaambia wanakuona "namna gani vipi"

Mfano: Mimi napendelea kuku wa kisasa kuliko wa kienyeji. Hakuna anayenielewa ila mimi naona ni walaini zaidi na ladha yake pia naipenda!

Je, una maoni yapi ambayo hakuna ambaye anakuelewa au kama wapo ni wachache mno na ni nadra kuwapata.

Karibuni.
 
Mm nawasihi kila binaadamu ambao wako hai basi asichoke kutafuta, akuna kukata tamaa ktk maisha mpaka siku unakufa, changamoto ni jumla ya maisha.
 
Wazazi wa kiaftica " kuwafanya Watoto wao rasiliamli....
 
Michepuko na tigo ndio habari ya mijini..!! Ila mwiko kusema sema sana..:p:eek:
 
Mi nipo liberal sana na naona watu liberal ndio wema na waelewa zaidi kuliko conservatives.
Mfano naona haifai ku mind mtu kisa haendi kanisani au msikitini, au haamini kuna mungu, au labda ni shoga au msagaji, au mwanamke kisa anajiuza... Si mind mtu akifanya chochote as long as ni personal na hadhuru wengine au yeye
 
Back
Top Bottom